Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Yupo vizuri sana na anastahili kuungwa mkono.Kafulila Yuko vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri sana na anastahili kuungwa mkono.Kafulila Yuko vizuri sana
Kwani kwa mfano ukawa mtendaji wa kijiji .je unakuwa haupo serikalini? Je mchango wako unaweza kufika wapi kwa nafasi hiyo ya utendaji wa kijiji?Kwani hivi Sasa hayupo serikali? Au atumikeje labda?
Kafulila ni jembe sana huyu apewe Uwaziri asaidie hii nchiNdugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutika Dolla Billioni 62 mpaka Dolla Billion 82. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika inatakiwa Apewe uwaziri kabisa amsaidie Mheshimiwa Rais wetu. Naamini Mheshimiwa Rais hatajuta hata kidogo ikiwa ataamua kufanya hivyo kumpa nafasi hiyo mchapa kazi na mzalendo huyu aliyenyooka kama rula.Kafulila ni jembe sana huyu apewe Uwaziri asaidie hii nchi
Mimi ni mzalendo na nilishasema wazi kuwa nawaunga watu wote wenye moyo wa uzalendo , Uchapa kazi na ujasiri wa kulitumikia Taifa letu. Mheshimiwa David Kafulila Ni Kiongozi mchapa kazi, mzalendo na jasiri. Hapa unaweza kurejea sakata la Escrow namna alivyolisismamia mpaka mwisho.Duh Luca umeamia kwa kafulula Sasa.
Kaka utajuta sana
Atajuta nini? Uchawa utawaua, Yeye anatetea sera za SerikaliDuh Luca umeamia kwa kafulula Sasa.
Kaka utajuta sana
Kafulila ni zaidi ya hazina,Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutika Dolla Billioni 62 mpaka Dolla Billion 82. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Oya sa si awe baba Yako mzazi tu kwani shingapi!!?Ndugu zangu Watanzania,

Huyu ni zaidi ya hazina,Ndugu zangu Watanzania,

Ni lazima tukakikishe Mheshimiwa Kafulila anaingia BungeniKafulila ni zaidi ya hazina,
Ukimwangalia Kafulila unamwona Mkapa na Jakaya ndani yake,
Ukimwangalia vizuri unamwona Mama Samia ndani yake,
Hakika kijana huyu atazamwe na Kila mpenda ustawi wa nchi yetu kama Msaada kwa Taifa.
Kama kwenye nafasi ndogo kama hii anafanyi hivi what if akipewa nafasi za kimamlaka?
Tuendelee kumwombea ndg yetu Kafulila hasa kuelekea Uchaguzi huu wa 2025 kama atakuwa na nia ya Ubunge basi Mungu ampe Hilo hitaji lake.
Viva Samia Viva Kafulila Viva.
===
🤣🤣🤣🤣Oya sa si awe baba Yako mzazi tu kwani shingapi!!?
Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli. Ni mtu aliyenyooka kama rula kwa uzalendo na usafiHuyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Kigoma lazima waelewe hii ni hazina kwa Taifa sio Kigoma pekee.Ni lazima tukakikishe Mheshimiwa Kafulila anaingia Bungeni
Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli. Ni mtu aliyenyooka kama rula kwa uzalendo na usafiHuyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Jamaa ni jembe kwelikweli tuache wivu na husuda za kijinga Kafulila ni kiongozi kwa asili.Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli. Ni mtu aliyenyooka kama rula kwa uzalendo na usafi
Kafulila ni mtu ambaye Taifa linamhitaji sana awepo Bungeni kulisemea.Ni kazi ya wana kigoma kutuletea Mheshimiwa Kafulila Bungeni hapo Mwakani.Kigoma lazima waelewe hii ni hazina kwa Taifa sio Kigoma pekee.
Mimi ni CHADEMA ila Kafulila namkubali sana huyu Mwamba Aishi sana tuNdugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutika Dolla Billioni 62 mpaka Dolla Billion 82. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata wenye wivu na chuki binafsi na Mheshimiwa Kafulila bado mioyoni mwao na wakati mwingine hadharani wanakili kabisa kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe na mzalendo wa kweli Kwa Taifa letu.Jamaa ni jembe kwelikweli tuache wivu na husuda za kijinga Kafulila ni kiongozi kwa asili.