Abrams
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 276
- 338
Masikini wa kutupwa kwaoIvi jamaa kwao ni Matajiri sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini wa kutupwa kwaoIvi jamaa kwao ni Matajiri sana?
Unakataaje Sasa 2.8bl na home majanga?Masikini wa kutupwa kwao
Wala siyo matajiri na wala hata yeye mwenyewe hana utajiri na wala hajakulia maisha ya kitajiri zaidi tu ya kujawa na uzalendo katika kifua chake na moyo wake kwa Taifa letu. Yeye hayupo tayari kuchukua pesa ya mtu kwa akili ya kulihujumu Taifa letu. Huyu Mwamba na chuma ni mfano halisi wa wazalendo wanaohitajika katika Taifa letu.Ivi jamaa kwao ni Matajiri sana?
Ndio maana anaitwa Mzalendo wa kweli hana Kona hata moja.Unakataaje Sasa 2.8bl na home majanga?
Na bado hayupo tayari kula wala kupokea wala kushawishika na pesa chafu za mafisadi.Masikini wa kutupwa kwao
Daaah ila vishawishi ni vingi piaWala siyo matajiri na wala hata yeye mwenyewe hana utajiri na wala hajakulia maisha ya kitajiri zaidi tu ya kujawa na uzalendo katika kifua chake na moyo wake kwa Taifa letu. Yeye hayupo tayari kuchukua pesa ya mtu kwa akili ya kulihujumu Taifa letu. Huyu Mwamba na chuma ni mfano halisi wa wazalendo wanaohitajika katika Taifa letu.
Ndio sababu mafisadi wakisikia jina lake matumbo yao yanapata moto utafikiri wana vidonda vya tumbo.Ndio maana anaitwa Mzalendo wa kweli hana Kona hata moja.
Na havijawahi kumtisha wala kumtetelesha wala kumuingiza katika kulidalalia na kuliuza Taifa Letu kwa maslahi yake binafsi.Daaah ila vishawishi ni vingi pia
Kwa mtiti ule Kila mtu aliamini dogo angelambishwa, 🤣🤣Nasikia wazee wa Escrow walimletea zaidi 2.8bl dogo akachomoa 😀
Binafsi naona huyu kada kaandika vapour tu tunachohitaji Ni kuona mtu anaegusa wananchi direct huku mtaani hali sio hali halafu unaleta story sijui tumtie moyo tumtie moyo sie tunatiwa moyo na nani?kijana huwa unaboa sana kwa mabandiko yako basi tu ningekua uongozini jf wallah ungekula ban ya kudumuCha kufanya kwa sasa ni kutafuta jukwaa la kafulila.Tumeshindwa kulinda mali zetu zinaibiwa na mabeberu tuje kulinda mtu ana nn cha ajabu huyo nchi hii inahitaji kufumuliwa yote tuanza upya
Itakuwa hunfahamu vyema Mheshimiwa Kafulila au itakuwa imekuja majuzi tu hapa mjini kutoka mahali ambako ilikuwa huelewi nini kinaendelea hapa nchini.itakuwa au umepata ufahamu wa mambo majuzi juzi tu hapa. Kwa taarifa yako ni kuwa Chuma Kafulila ana historia na rekodi ya kipekee ya kizalendo katika kupiga vita ufisadi na rushwa. Ni mtu aliyenyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda wala kupindishwa kwa vipande vya pesa ya ufisadi au rushwa. Ni mchapa kazi kwelikweliInaonekana hazina nchi hii zimeisha.Kafulila?Huyu aliyenunulika kwa vioande thelathini vya fedha?Muache utani sasa!
Chuma Kafulila hajawahi kuwa na tamaa wala kuhitaji pesa chafu za ufisadi na rushwa.Kwa mtiti ule Kila mtu aliamini dogo angelambishwa, 🤣🤣
Lucas Mwoshambwa😀Binafsi naona huyu kada kaandika vapour tu tunachohitaji Ni kuona mtu anaegusa wananchi direct huku mtaani hali sio hali halafu unaleta story sijui tumtie moyo tumtie moyo sie tunatiwa moyo na nani?kijana huwa unaboa sana kwa mabandiko yako basi tu ningekua uongozini jf wallah ungekula ban ya kudumu
Hii ndio sababu inanifanya nimpende huyu jamaa seriouslyChuma Kafulila hajawahi kuwa na tamaa wala kuhitaji pesa chafu za ufisadi na rushwa.
Mara nyingi huwa nakueleza Luca,uwe unaacha ujingaujinga. Huko mjini ndiyo mnakuwa wapuuzi hivyo?Kafulila hana tofauti na golddigger,opportunist fulani hivi.Anasaka maisha yake.Eti hazina!Hazina ya kijinga?Itakuwa hunfahamu vyema Mheshimiwa Kafulila au itakuwa imekuja majuzi tu hapa mjini kutoka mahali ambako ilikuwa huelewi nini kinaendelea hapa nchini.itakuwa au umepata ufahamu wa mambo majuzi juzi tu hapa. Kwa taarifa yako ni kuwa Chuma Kafulila ana historia na rekodi ya kipekee ya kizalendo katika kupiga vita ufisadi na rushwa. Ni mtu aliyenyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda wala kupindishwa kwa vipande vya pesa ya ufisadi au rushwa. Ni mchapa kazi kwelikweli
Anakubalika na watu wengi sana WAZALENDO wa Taifa letu. Ni suala la kurejea bungeniHii ndio sababu inanifanya nimpende huyu jamaa seriously
Ndiyo maana tunakuona kuwa wewe ni limbukeni wa siasa hapa Tanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutika Dolla Billioni 62 mpaka Dolla Billion 82. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani hiyo gas ipo?Hebu niambie ww km mtanzania gas ya mtwara ina msaada gani kwako?Nimekuuliza dogo tu hilo..
Anabubujikwa na machozi muda huu.Luca ni hopeless material fulani hivi.Ndiyo maana tunakuona kuwa wewe ni limbukeni wa siasa hapa Tanzania.
Labda tuambie kuwa wewe ni mkimbizi kutoka Rwanda au Burundi.
Leo hii mwana ccm unamsifia Kafulila na kumpamba?
Nyie wana ccm mlimtukana Kafulila na kumuita Nyani kisa yeye ni mpinzani.
Akili zako unazijua wewe limbukeni wa siasa za nchi hii ndiyo maana kila mtu anakudharau.