Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Angekuwa anasaka maisha basi angekuwa ni bilionea kwa sasa kwa pesa za Escrow na madili mengine makubwa makubwa ya kifisadi. Lakini kwa kuwa kanyooja kama rula aliyakataa mapesa yote ya ufisadi na rushwa. Najuwa hata ninyi ma CHADEMA mnamkubali na kumuogopa sana Chuma kwa misimamo yake thabiti ya uzalendo kwa Taifa letu na mnatamani sana angekuwa huko CHADEMA kwa kuwa ndani ya CHADEMA nzima hamna mtu mwenye uwezo wa kiakili kama Chuma Kafulila.Mara nyingi huwa nakueleza Luca,uwe unaacha ujingaujinga. Huko mjini ndiyo mnakuwa wapuuzi hivyo?Kafulila hana tofauti na golddigger,opportunist fulani hivi.Anasaka maisha yake.Eti hazina!Hazina ya kijinga?