David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Anabubujikwa na machozi muda huu.Luca ni hopeless material fulani hivi.
Roho zinawauma sana CHADEMA kwa kuona kichwa hiki hakipo kwenu na ninyi kubakia na vichwa visivyoweza kuwaza wala kuwa na mipango hata ya siku moja tu mbele.mmebakia watu wa kurukia na kudandia matukio tu.
 
Mimi ni mzalendo na nilishasema wazi kuwa nawaunga watu wote wenye moyo wa uzalendo , Uchapa kazi na ujasiri wa kulitumikia Taifa letu. Mheshimiwa David Kafulila Ni Kiongozi mchapa kazi, mzalendo na jasiri. Hapa unaweza kurejea sakata la Escrow namna alivyolisismamia mpaka mwisho.
Mzalendo wa tumbo
 
Kafulila ni zaidi ya hazina,

Ukimwangalia Kafulila unamwona Mkapa na Jakaya ndani yake,

Ukimwangalia vizuri unamwona Mama Samia ndani yake,

Hakika kijana huyu atazamwe na Kila mpenda ustawi wa nchi yetu kama Msaada kwa Taifa.

Kama kwenye nafasi ndogo kama hii anafanyi hivi what if akipewa nafasi za kimamlaka?

Tuendelee kumwombea ndg yetu Kafulila hasa kuelekea Uchaguzi huu wa 2025 kama atakuwa na nia ya Ubunge basi Mungu ampe Hilo hitaji lake.

Viva Samia Viva Kafulila Viva.
===
Pipa na funiko
 
Roho zinawauma sana CHADEMA kwa kuona kichwa hiki hakipo kwenu na ninyi kubakia na vichwa visivyoweza kuwaza wala kuwa na mipango hata ya siku moja tu mbele.mmebakia watu wa kurukia na kudandia matukio tu.
Hapa hakuna uchama.Huyo unayesema ni hazina,hamna kitu.Snitch fulani mnayetaka kufanana tu.Mambo ya chama peleka kijijini kwenu.
 
Huyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Kwahiyo tumekubaliana kuwa ile jina la Tumbili wana ccm mmeliondoa na sasa ni binadamu?
 
Unaonaje ukawa mkewe wa pili?
Hizo ndio akili zenu za CHADEMA na zilizojaa ndani ya CHADEMA na ndio maana chama kinaendelea kuserereka kuelekea shimoni kila uchwao na kuendelea kupuuzwa na watanzania.
 
Hapa hakuna uchama.Huyo unayesema ni hazina,hamna kitu.Snitch fulani mnayetaka kufanana tu.Mambo ya chama peleka kijijini kwenu.
Mnaumia sana CHADEMA .ninyi endeleeni kupambana na hali zenu na akili mgando mlizonazo huko huko.zisizo weza kukipeleka chama popote pale zaidi ya kukitumbukiza shimoni.
 
Back
Top Bottom