David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Oya sa si awe baba Yako mzazi tu kwani shingapi!!?
Kafulila ni baba wa uzalendo na kila mpenda Taifa letu ni lazima ajiunge mkono Mheshimiwa Kafulila. Najuwa hata wewe hapo ulipo unamkubali sana Mwamba kwa uzalendo na uchapa kazi wake.
 
Hiki chuma kinakubalika na watu wote bila kujali vyama vyao na itikadi zao za kisiasa.
Jamaa anachukia sana wizi hicho tu ndio kinanifanya nimkubali,
Kule SIMIYU aliwanyoosha wachuuzi wa PAMBA mpaka wakauza PAMBA kwa 2,000 Bei haijawahi kutokea tangu uhuru.

MIMI NI CHADEMA KWELI ILA KAFULILA NAMKUBALI
 
wale wa china wa Kampuni ya CHICCO wakimuona jamaa wanakuwaga wekunduu hawataki ata kumsikia aliwapaga kurudia barabara ya Mwigumbi Maswa 🤣🤣🤣
 
wale wa china wa Kampuni ya CHICCO wakimuona jamaa wanakuwaga wekunduu hawataki ata kumsikia aliwapaga kurudia barabara ya Mwigumbi Maswa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Hii habari ni kweli?
 
Jamaa anachukia sana wizi hicho tu ndio kinanifanya nimkubali,
Kule SIMIYU aliwanyoosha wachuuzi wa PAMBA mpaka wakauza PAMBA kwa 2,000 Bei haijawahi kutokea tangu uhuru.

MIMI NI CHADEMA KWELI ILA KAFULILA NAMKUBALI
Ndio maana wana Simiyu wanaendelea kumkumbuka na kumkubali sana kuwa kuna chuma kilipita hapa Simiyu na kuipaisha Pamba kufikia 2200 kwa kilo moja bei iliyoweka historia. Angalia alivyosimamia matumizi sahihi ya pesa za umma kwa kuhakikisha kuwa miradi inajengwa kwa ubora kulingana na thamani ya pesa.ndio maana arimrejesha mkandarasi kurudia kutengeneza barabara zaidi ya kilomita 20 zenye thamani ya takribani Billion 40 baada ya kuwa ametengeneza chini ya kiwango na kinyume cha mkataba.
 
wale wa china wa Kampuni ya CHICCO wakimuona jamaa wanakuwaga wekunduu hawataki ata kumsikia aliwapaga kurudia barabara ya Mwigumbi Maswa 🤣🤣🤣
Jamaa ni jembe na jasiri kwelikweli maana bila kuchukua hatua hiyo serikali ilikuwa inapata hasara ya kurudia ujenzi wa barabara hiyo kwa gharama zake za Billion 40. Lakini kwa ujasiri wake Mh Kafulila aliwarudisha mna kumuamuru mkandarasi arudie barabara kwa gharama zake mwenyewe.
 
Ulikuwa mchongo tu watu wakavuta pesa kwa wachina bahati mbaya Mzee wa Escrow akawasali😆😆
Mheshimiwa Kafulila hajawahi kupinda wala kumuogopa mtu katika kutetea maslahi ya Taifa letu. Yeye wakati wote yupo upande wa Taifa na wananchi ndio maana hufanya kazi kwa bidii sana
 
Mheshimiwa Kafulila hajawahi kupinda wala kumuogopa mtu katika kutetea maslahi ya Taifa letu. Yeye wakati wote yupo upande wa Taifa na wananchi ndio maana hufanya kazi kwa bidii sana
Yes sahihi kabisa mkuu.
 
Inamaana Kafulila hagusi kabisa madili huyu jamaa?
Huyu ni msafi na mzalendo aliyenyooka kama rula. Nazani inafahamu sifa ya rula.rula huwa haipindi zaidi ya kukatika.kwanhiyo Mheshimiwa Kafulila huwezi ukampindisha kwa kutaka kumuhonga vipesa vyako ili aihujumu nchi yake anayoipenda kwa dhati. Yeye kwake ni Taifa kwanza.
 
Inaonekana hazina nchi hii zimeisha.Kafulila?Huyu aliyenunulika kwa vioande thelathini vya fedha?Muache utani sasa!
 
Back
Top Bottom