David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Kwani hivi Sasa hayupo serikali? Au atumikeje labda?
Kwani kwa mfano ukawa mtendaji wa kijiji .je unakuwa haupo serikalini? Je mchango wako unaweza kufika wapi kwa nafasi hiyo ya utendaji wa kijiji?
 
Kafulila ni jembe sana huyu apewe Uwaziri asaidie hii nchi
 
Kafulila ni jembe sana huyu apewe Uwaziri asaidie hii nchi
Kwa hakika inatakiwa Apewe uwaziri kabisa amsaidie Mheshimiwa Rais wetu. Naamini Mheshimiwa Rais hatajuta hata kidogo ikiwa ataamua kufanya hivyo kumpa nafasi hiyo mchapa kazi na mzalendo huyu aliyenyooka kama rula.
 
Duh Luca umeamia kwa kafulula Sasa.
Kaka utajuta sana
Mimi ni mzalendo na nilishasema wazi kuwa nawaunga watu wote wenye moyo wa uzalendo , Uchapa kazi na ujasiri wa kulitumikia Taifa letu. Mheshimiwa David Kafulila Ni Kiongozi mchapa kazi, mzalendo na jasiri. Hapa unaweza kurejea sakata la Escrow namna alivyolisismamia mpaka mwisho.
 
Kafulila ni zaidi ya hazina,

Ukimwangalia Kafulila unamwona Mkapa na Jakaya ndani yake,

Ukimwangalia vizuri unamwona Mama Samia ndani yake,

Hakika kijana huyu atazamwe na Kila mpenda ustawi wa nchi yetu kama Msaada kwa Taifa.

Kama kwenye nafasi ndogo kama hii anafanyi hivi what if akipewa nafasi za kimamlaka?

Tuendelee kumwombea ndg yetu Kafulila hasa kuelekea Uchaguzi huu wa 2025 kama atakuwa na nia ya Ubunge basi Mungu ampe Hilo hitaji lake.

Viva Samia Viva Kafulila Viva.
===
 
Oya sa si awe baba Yako mzazi tu kwani shingapi!!?
 
Huyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
 
Ni lazima tukakikishe Mheshimiwa Kafulila anaingia Bungeni
 
Huyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli. Ni mtu aliyenyooka kama rula kwa uzalendo na usafi
 
Huyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli. Ni mtu aliyenyooka kama rula kwa uzalendo na usafi
 
Mimi ni CHADEMA ila Kafulila namkubali sana huyu Mwamba Aishi sana tu
 
Jamaa ni jembe kwelikweli tuache wivu na husuda za kijinga Kafulila ni kiongozi kwa asili.
Hata wenye wivu na chuki binafsi na Mheshimiwa Kafulila bado mioyoni mwao na wakati mwingine hadharani wanakili kabisa kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe na mzalendo wa kweli Kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…