David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

Nakubaliana nae kwa kiasi kikubwa
Una sahau nchi zote hizo zilizoendelea huko nyuma wakati wanaanza kufuata demokrasia au wanapata uhuru zilikuwa maskini? Sasa wanepataje maendeleo?

Unasahau pia Katika nchi maskini nyingi ni hizo za kidikteta au demokrasia nusu.

Demokrasia huchohea maendeleo ya haraka.
 
sasa unabishia uatafiti?
 
nakuelewa ila sikubaliani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…