David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Kafulila ni superGeneous
 
Na bandari pia
Huyu jamaa sikujuwa kama ni mnafiki kiasi hichi. Mwanzoni akiwa upinzani nilikuwa nikimwona yeye na home mate wake Zitto kama watu jasiri na wasiogopa kusemma ukweli, kumbe maweeee....
 
Huyu jamaa sikujuwa kama ni mnafiki kiasi hichi. Mwanzoni akiwa upinzani nilikuwa nikimwona yeye na home mate wake Zitto kama watu jasiri na wasiogopa kusemma ukweli, kumbe maweeee....
Anajali maslahi binafsi
 
Kwani unadhani ukali ndio Uongozi?
Natambua ukali sio uongozi,,, ila kuna mazingira ambayo kiongozi anapaswa kuwa mkali, kuna wakati awe mpole na kuna wakati awe anaongoza Njia,,, hii ni fani yangu ambayo nimesomea

Lakini watanzania ni wapigaji kwahiyo staili ambayo inawafaa ni ukali pamoja na ufuatiliaji wa karibu sana

Kiongozi akifanikiwa Katika feedback ambayo ndio nguzo muhimu ktk admistration basi atakuwa amefikia lengo
 
Ndio maana Kafulila anatamani nchi iongozwe na wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…