David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Siku zote nasema Kafulila ni miongoni mwavijana wenye akili sana, Na huo ndio ukweli Kafulila ni mwamba
 
Ukimtoa mama kizimkazi hao wanawake wengine bado Sana.

Dunia ya kwanza hawahitaji tena kumuwezesha mwanamke maana wanasapotiwa na mifumo tayari.
 
Kafulila
 
Huyu jamaa sikujuwa kama ni mnafiki kiasi hichi. Mwanzoni akiwa upinzani nilikuwa nikimwona yeye na home mate wake Zitto kama watu jasiri na wasiogopa kusemma ukweli, kumbe maweeee....
Nadhani mnafiki unaweza ukawa ni wewe kama ni kweli Kuna unafiki kati yenu
 
Kafuli is our precious asset kama Taifa, jamaa ni mtulivu sana na anajielekeza kwenye hoja tu za kulisaidia Taifa na Watanzania, Namshauri agombee Ubunge 2025 ili awepo Bungeni japo Ubunge nao ndio hivyo tena
 
Sasa kwanini sarafu yetu inashuka thamani kwa kasi ulinganisha na Sarafu ya Kenya au Uganda?
 
Chawa pro max
 
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
USHAHIDI NI HII TANZANIA

Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kazi iendelee
 
Kafulila huu wako ni uongo kabisa
 
Kazi nzuri sana Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…