| Rank | Country | % of Women in Parliament | Global rank |
|---|
| 1 | Rwanda | 61.3% | 1st |
| 2 | Senegal | 46.1% | 11th |
| 3 | South Africa | 45.8% | 14th |
| 4 | Namibia | 44.2% | 19th |
| 5 | Mozambique | 43.2% | 20th |
| 6 | Ethiopia | 41.3% | 25th |
| 7 | Cabo Verde | 38.9% | 30th |
| 8 | Angola | 38.6% | 32nd |
| 9 | Burundi | 38.2% | 36th |
| 10 | United Republic of Tanzania | 37.4% | 41st |
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka MITATU ya Urais lakini hayuko Mtanzania mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
#Samia Mitano Tena,