David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Tanzania ni Moja wapo
 
Naiunga mkono hoja hii, Ukitaka kuamini angalia Dkt Samia na Dkt Tulia
 
Huu utekaji umeleta doa sana kwa Tanzania
 
Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Nailed
 
Vipi nchi za Marekani, Urusi na China?
Wanawake sio wabunifu ila kwenye upande wa usimamizi wako vizuri.
 
Samia juu sana
 
Kutoa takwimu za utendaji wa wanawake ni mmojawapo ya kazi za kamishina wa PPP Kafulila?
 
Kama ni kweli Kwa Nini Sasa kizimkazi Nchi imemshinda?
 
Imemshinda katika area Gani?
Katika nyanja zote.kisiasa anaua wanaomkosoa.mfano sativa,kibao,soka n.k.kiuchumi Nchi imeporomoka Kwa kasi toka uchumi wa kati hadi umasikini uliokithiri(Kila vitu vimepanda bei.Kidiplomasia Nchi imeshuka Hadi ameanza kuwatukana mabalozi Mfano battle wa marekani katukanwa baada ya kuhoji mauaji ya wapinzani yaliyoshamiri kipindi chake.
 
Daaah Kamala Harris
 
Professor Muhongo!

Njoo Jf ,Tumbili , anatusumbua na takwimu za uongo.

Kafulila anatafuta Uwaziri Mkuu 2025.
 
Na hizo ndio nchi maskini kabisa duniani
 
Kuna ukweli mwingi hapa
 
Samia Mungu amlinde kwa kazi kubwa na nzuri anazozifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…