David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

Kafulila ni Chawa Pro- Max, mtu hovyo kabisa, muha akishiba anakuwa empty minded..! Tafuteni mradi hata mmoja tu wa PPP ambao umekamilika tangu Kafulila ateuliwe katika nafasi hiyo.

Kafulila amejisahau, amebakia kusifia sifia tu kila kukicha, na mashaka sana kama anajua majukumu yake vema, huyu amekua msanii sana, na ipo siku Mh. Rais atamshtukia na kumtimua haraka sana, sbb amebakia kusifia sifia tu katika mitandao na vyombo vya bahari na yeye kama Mkurugenzi wa PPP sio kazi yake hiyo kusifia sifia tu badala ya kuvutia wawekezaji na kuonyesha miradi iliyomalizika kwa PPP na inayoendelea kwa PPP, sio kila kukicha kisifia sifia kama kaajiriwa kufanya hivyo.
 
Hija ijibiwe Kwa hoja
 
Hizi ni dalili za kutokujiamini.

Mwambieni Kafurila Ulaya hivyo ni vitu vidogo sana na walijenga hawakumpigia mtu makelele.
 
Huyu naye sijui kama anajua analoongea fala huyu. Kwani tunashindana na Ulaya? Kama tunashindana tangu lini huyu Kafulila amekuwa judge?
 
Msimshangae kwani huko TBC alikoibukia ndiko kwenye jiko la kupika uongo.
Kuna baadhi ya sehemu kwenye hiyo reli mabehewa huegama na kutoa sauti za misuguano, nadhani alikuwa anamalizia ubishi ulioanzia baa.
 
Bandari ya Dar inaendeshwa kwa PPP kati ya TPA na DP World.
 
Ukushakuwa chawa hata kama umesoma unaonekana useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…