StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ushirikina haujawahi kumsaidia mtu bali kumpumbaza kisha kumtelekeza kwa aibu.Kafulila hawezi kufanya mdahalo hata na wananfunzi wa VETA brother ni tapelitapeli tu wa mjini na ushirikina unamsaidia sn
SureHakuna namna
Kwanini CHADEMA mnahangaika sana kiasi hiki?Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.
Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.
Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
CHADEMA mnahangaika sana na Kafulila, Jibu hoja kwa takwimu kama yeyeSure
Tatizo hapo ni CAG au Kafulila?Ushirikina haujawahi kumsaidia mtu bali kumpumbaza kisha kumtelekeza kwa aibu.
Wewe Jenga hoja achana na ratiba zake za kaziHivi Kafulila huwa ana muda wa kufanya kazi za ukamishina alizopewa kwelu?
Kutwa kutafuta takwimu za kumsifia Rausi tu kazi anafanya saa ngapi?
Ule ukamishina ukweli anapwaya
Atafutwe mtu serious atakaye concentrate zaidi kwenye jukumu la hiyo kazi badala ya kutwa kutunga nyimbo tu za kusifu ns kuabudu Raisi
Linarudije Kiana,Mwenye Clip ya kikao cha bunge 16/17 mkutano wa 18 wa jioni atuwekee kupata sakata la IPTL maana nikama linarudi kiaina
Hapa tatizo ni Kafulila au ni CAG?Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.
Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.
Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
Usipoaminika,utajikuta unatumia nguvu nyingi sana ili uaminike. Maisha ni mwandiko unaandika halafu wengine wanakusoma. HAKI huinua TAIFA.Tatizo hapo ni CAG au Kafulila?
CHADEMA BADO HAMJASEMAHili jamaa kumbe ndio maana lilipigwa chini na mke wake.
Bado hamjasemaUsipoaminika,utajikuta unatumia nguvu nyingi sana ili uaminike. Maisha ni mwandiko unaandika halafu wengine wanakusoma. HAKI huinua TAIFA.
Hiyo ni ripoti ya CAG mchapa kaziWewe Jenga hoja achana na ratiba zake za kazi
CAG ndio katoa hizi ripoti shida Nini kwa Kafulila?
Done!Bado hamjasema
Sawa ila kifupi Mikopo haiepukikiNijuavyo mimi kukopa kunadumaza akili ya kubuni vyanzo endelevu vya kujiingizia kipato kiwango cha kukopa kimeongezeka sana Ina maana uwezo wa serikali kubuni vyanzo vya uhakika vya kupata pesa ni hafifu
HowWatu wanalinda ugali aisee