Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.