mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Silinde ni Naibu wa Jenister?Kwamba wewe na Web ya Bunge tukufuate wewe!.
Sio website ya Bunge tu Mkuu, tembelea website nyingi tu za Serikali utaona.Kwamba website ya Bunge kuna vilaza?.
Wewe na Bunge lako ndo waongoView attachment 2530332
Parliament of Tanzania
www.parliament.go.tz
Mimi nimeangalia web ya Bunge,sasa sijui wewe au Bunge nani mkwe like.
Ambacho ni Baraza la MawaziriMimi siku zote napenda kufuata vyanzo rasmi.
Ila nahisi Kuna Jambo lipo chinichini nazani litahapeni soon kwa SilindeAmbacho ni Baraza la Mawaziri
Siyo rahisiIla nahisi Kuna Jambo lipo chinichini nazani litahapeni soon kwa Silinde
Mama hajui anataka nini anangojea ushauri wa wapigajiDavid Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
TISSKwani Freeman anatokea wapi?
Mama yupi huyo?Nadhani kama Mama yuko honest ni lazima aondokane na wasaidizi wenye makando kando.
Tumefika huku? We never intended maridhiano to be like this. Inaonekana mbowe ana poodles waje kila mahali, kumbe waliwanunua kwa kuwapa chupi na suti young graduates wenye shida chuoni? Now they are being blackmailed! Ni wote - zitto, halima, huyu, mrema, heche, waitara, joyce1, joyce2, wote graduates wako under threat of blackmail. This is serious isipite hivihivi. Ni bora kuwa chawa wa Samia kuliko kuwa mbwakoko wa mbowe.David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Lazima mbowe ashitakiwa kwa blackmail and extortion makosa ya jinai, na defamation, kosa la madai. Although watoto wa shule sasa anawataka wamrambe mguu ili asiwaseme? Hela si uliwapa bure? Kama uliwakopesha u a leseni ya Benki Kuu ya kukopesha? Msajili wa Vyama vya Sias aliangalie hili. Na Tume ya Maadili ya Viongozi. Na TAKUKURUMama yupi huyo?
Mambo ya familia mnayaletaje kwenye Uma.
Kaeni myamalize kwa busara.