David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.

Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.

Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.

Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?

Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.

Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.

[emoji2827]
 
Huyo ni nyoka wa kitambo sana.
 
Mtu WA hovyo hovyo kama huyu,unampa uwaziri?!kitu pekee alichofsnya kwenye carrier yake ya Siasa ni kuwa chawa, sycophant wa watawala tu.
 
Siyo rahisi

Wafuatilie Vijana wote wa Mbowe na mahali waliko sasa mfano Joshua Nassari, Dr Mashinji, Zitto Kabwe, Juliana Shonza, David Silinde, Halima Mdee nk

Usione Vyaelea!
Umeamini nimekwambia kuna KITU kinakuja kwa Silinde
 
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
[emoji2827]
Watu hamjajua, huyu dogo ni kanda malum ya Kule Kyatu,miaka ya 70 wazazi wake wakiwa na Ng'ombe walihamia bonde la Rukwa mpaka kamsamba huko.wakati mzee wa Kyatu anachukua hatamu, aliweza kuwascreen baadhi ya wakwao waliomaeneo yenye Ukinzani akaongea ngeli ya kanda yao, wakanunuliwa kwa shekeli wakashiriki Unyama ule wa kamata ukinzani tia ndani nk nk. Huyu ataendelea kudumu mana ni Project maalum sasa inalipwa for the job. Wapo wengi ila nimewapa mfano mmojawapo..wa Yuda Eskarioti!!" Ntasema kweli daima fitina kwangu mwiko."
 
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.

Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.

Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.

Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?

Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.

Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.

So Wewe una ushahidi wa kuwa Silinde ni mtekaji?
 
Nadhani kama Mama yuko honest ni lazima aondokane na wasaidizi wenye makando kando.

Shida Ni kumdharau Rais wa nchi na kukaa na kumuamini DJ. Wewe unadhani Mbowe ni dhaifu na hana mbinu chafu?
 
Back
Top Bottom