David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

Good Governance ina maana pana ikigusa private sector, public sector na civil societies si kama ulivyo tafsiri, kuhusu utekaji mnaushahidi gani au mlienda kumchafua kisiasa jimboni kwake. Kama ni mtekaji na muuaji kwanini msimshtaki.
Kumshitaki kwenye mahakama zipi??

Unamaana kwenye hizi mahakama majali wanateuliwa na kupandishwa vyeo katikati ya kesi na rais?
 
Usikimbilie kujibu kabla ya tafakari.
Tupe ushahidi Silinde alihusika katika matukio ya kuteka watu. Nafikiri utakuja na ushahidi mzito usio na shaka baaya ya kufanya tafakari zako.
After all, hizi ni tuhuma za makosa ya jinai kwanini usifanye mpango wa kumfikisha mahakamani?
Mahahakama ndiyo hutoa hukumu na siyo hukumu uliyotoa hapa dhidi yake.
 
Ndugu yangu unaishi Tanganyika au Ugaibuni ?.

Nchi zetu za Dunia ya tatu Tanzania ikiwemo Serekali ndio kila kitu.Ukitaka jambo lichunguzwe,Upelekwe Mahakamani Serekali yenyewe ipende isipotaka elewa hakuna mashtaka wa hakuna uchunguzi.

Umewahi kujiuliza nani aliondoa Camera katika tukio la Lissu kupigwa risasi !.

Umewahi kujiuliza nani aliondoa walinzi katika makazi ya viongozi Dodoma kabla ya tukio la Lissu ?.

Nimekupatia mifano rahisi na dhahiri kwa katiba yetu ya sasa unaweza kushtakiwa bila kutenda kosa na ukawekwa ndani kwa miezi au miaka ya kutosha.

Unaweza kubambikwa mashtaka ya uongo na ukafungwa kifungo kirefu cha kutosha kumalizia maisha yako Gerezani na hakuna mtu au taasisi itakayo kutetea badala yake walioshiriki kukufunga kwa mashtaka ya uongo wakapandishwa vyeo vikubwa bila wasiwasi
 
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.

Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.

Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.

Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?

Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.

Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.

Una jambo lako binafsi
 
Agenda yako inapoteza lengo umejikita kwa mtu
 
Silinde sio kuwa yupo TAMISEMI ?
Huyu ni Project za Mwendakuzimu Jiwe, alimnunua kutoka CHADEMA kuelekea 2020, Kwa Jeuri sana akaongea shombo sana Bungeni
Mungu akamchapa Jiwe Kwa Kumnyofoa roho yake
 
Ndugu yangu unaishi Tanganyika au Ugaibuni ?.

Nchi zetu za Dunia ya tatu Tanzania ikiwemo Serekali ndio kila kitu.Ukitaka jambo lichunguzwe,Upelekwe Mahakamani Serekali yenyewe ipende isipotaka elewa hakuna mashtaka wa hakuna uchunguzi.

Umewahi kujiuliza nani aliondoa Camera katika tukio la Lissu kupigwa risasi !.

Umewahi kujiuliza nani aliondoa walinzi katika makazi ya viongozi Dodoma kabla ya tukio la Lissu ?.

Nimekupatia mifano rahisi na dhahiri kwa katiba yetu ya sasa unaweza kushtakiwa bila kutenda kosa na ukawekwa ndani kwa miezi au miaka ya kutosha.

Unaweza kubambikwa mashtaka ya uongo na ukafungwa kifungo kirefu cha kutosha kumalizia maisha yako Gerezani na hakuna mtu au taasisi itakayo kutetea badala yake walioshiriki kukufunga kwa mashtaka ya uongo wakapandishwa vyeo vikubwa bila wasiwasi
Kwahivyo Sabaya ameshitakiwa nchi gani?
Mbona kuna mtu binafsi amemshitaki Makonda, wewe unashindwa nini kumshitaki Silinde?
Wewe mshitaki hatima ya hukumu waachie mahakama na siyo kuchafuana mitandaoni.

Jitokeze adharani kumshitaki Silinde kuondoa unafiki na kuchafuana na utambulisho bandia kwa malengo ya kisiasa.
 
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.

Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.

Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.

Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?

Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.

Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Naunga mkono hoja
 
Kwahivyo Sabaya ameshitakiwa nchi gani?
Mbona kuna mtu binafsi amemshitaki Makonda, wewe unashindwa nini kumshitaki Silinde?
Wewe mshitaki hatima ya hukumu waachie mahakama na siyo kuchafuana mitandaoni.

Jitokeze adharani kumshitaki Silinde kuondoa unafiki na kuchafuana na utambulisho bandia kwa malengo ya kisiasa.
Siasa za kutekana na kuumizana zilikufaidisha sana bahati mbaya sasa hazipo tena.

Kila jambo na wakati wake,wakati wake ukifika atapelekwa anapostahili.

Wakina Winnie Mandela waliumbuka kipindi kile cha maridhiano kule SA itakuja kuwa huyu Silinde wakati wake ukifika hana namna hatakwepa stahili zake.

Kule Mbozi wapo vilema na waliojeruhiwa na kutekwa kupitia juhudi za Silinde ipo siku watapata nafasi ya kusikilizwa na Dunia itashangaa.
 
Back
Top Bottom