Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Kumshitaki kwenye mahakama zipi??Good Governance ina maana pana ikigusa private sector, public sector na civil societies si kama ulivyo tafsiri, kuhusu utekaji mnaushahidi gani au mlienda kumchafua kisiasa jimboni kwake. Kama ni mtekaji na muuaji kwanini msimshtaki.
🤣🤣🤣 Umefurahi sana kwasababu walalamikaji ni chadema? sukuma gang mna vichwa vivumu sana na hamtaki kujifunzaSilinde kamatia hapo hapo.
Tupe ushahidi Silinde alihusika katika matukio ya kuteka watu. Nafikiri utakuja na ushahidi mzito usio na shaka baaya ya kufanya tafakari zako.Usikimbilie kujibu kabla ya tafakari.
Hamna kitu, amepewa tu shukurani kwasababu alitimiza bila kusita kile alichoagizwa na mkuu. Mtu wa namna hiyo ni wa kumuogopa sanaHayupo kwa bahati mbaya hapo...
Mkuu jukwaa la kukata ngebe hili.Huuzi watu mnatukanana saana aiseee
Tupe ushahidi Silinde alihusika katika matukio ya kuteka watu. Nafikiri utakuja na ushahidi mzito usio na shaka baaya ya kufanya tafakari zako.
After all, hizi ni tuhuma za makosa ya jinai kwanini usifanye mpango wa kumfikisha mahakamani?
Mahahakama ndiyo hutoa hukumu na siyo hukumu uliyotoa hapa dhidi yake.
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Agenda yako inapoteza lengo umejikita kwa mtuDavid Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Silinde sio kuwa yupo TAMISEMI ?David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Kwahivyo Sabaya ameshitakiwa nchi gani?Ndugu yangu unaishi Tanganyika au Ugaibuni ?.
Nchi zetu za Dunia ya tatu Tanzania ikiwemo Serekali ndio kila kitu.Ukitaka jambo lichunguzwe,Upelekwe Mahakamani Serekali yenyewe ipende isipotaka elewa hakuna mashtaka wa hakuna uchunguzi.
Umewahi kujiuliza nani aliondoa Camera katika tukio la Lissu kupigwa risasi !.
Umewahi kujiuliza nani aliondoa walinzi katika makazi ya viongozi Dodoma kabla ya tukio la Lissu ?.
Nimekupatia mifano rahisi na dhahiri kwa katiba yetu ya sasa unaweza kushtakiwa bila kutenda kosa na ukawekwa ndani kwa miezi au miaka ya kutosha.
Unaweza kubambikwa mashtaka ya uongo na ukafungwa kifungo kirefu cha kutosha kumalizia maisha yako Gerezani na hakuna mtu au taasisi itakayo kutetea badala yake walioshiriki kukufunga kwa mashtaka ya uongo wakapandishwa vyeo vikubwa bila wasiwasi
Mitaa ya kanisaniKwani Freeman anatokea wapi?
Tunachangamoto ya kuto upate website na taarifa nyingi za kwenye mtandao.
Naunga mkono hojaDavid Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti?
Silinde alijihusisha na mambo ya utekaji kipindi cha Mwendazake. Watekaji ni genge la watu wasiojulikana ingawa wanajulikana wanatokea taasisi gani.
Kwakuwa mambo ya kutekana, kupotezana na kudhuriana chini ya Serekali ya Mama hayapo tena wala hayana nafasi ni vyema Silinde akaondolewa katika Wizara ya Utawala Bora na kupelekwa wizara nyingine au kuondolewa kabisa katika baraza la Mawaziri.
Siasa za kutekana na kuumizana zilikufaidisha sana bahati mbaya sasa hazipo tena.Kwahivyo Sabaya ameshitakiwa nchi gani?
Mbona kuna mtu binafsi amemshitaki Makonda, wewe unashindwa nini kumshitaki Silinde?
Wewe mshitaki hatima ya hukumu waachie mahakama na siyo kuchafuana mitandaoni.
Jitokeze adharani kumshitaki Silinde kuondoa unafiki na kuchafuana na utambulisho bandia kwa malengo ya kisiasa.
Kwamba Silinde yuko Utawala Bora?Naunga mkono hoja
Huu upepo hautamuacha Doto Biteko, Godwin Mollel,Inaonekana reshuffle haipo kilomita nyingi.
Sarakasi zimekuwa nyingi.