Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

The problem with you guys mnadhani kila mmoja ana equal and same taste in music as everyone else!!! Mtu kama sio mpenzi wa muziki wa SA, how do you expect atawafahamu Mafikizolo? Mtu kama si mpenzi wa Nigerian Music, how do you expect him/her amfahamu Davido? Fanyeni research... msije mkashangaa hadi leo kuna watu hawawafahamu P Square lakini wanawafahamu wanamuziki wa kawaida kabisa kutoka Mashujaa Band!!! BInafsi, sikupata kabisa kuupenda muziki wa Congo ingawaje back 1990's ndo ulikuwa una-hit lakini sikuwahi kuupenda! Na kama si kwamba enzi zile, hatukua na choices kwenye TV, sidhani hata kama hao akina Bongoman ningewafahamu lakini kv ndicho pekee kilikuwa kinaoneshwa na hakuna option unalazimika hivyo hivyo lakini niulize nikutajie nyimbo 3 za Bongoman, sizijui....

Mwisho, si kweli, NARUDIA, SI KWELI unaposema eti "kabla minanawe hawajamtoa Lady Jaydee!" Minanawe hawajamtoa Lady JD... Minanawe walfanya kolabo na Jide wakati tayari Jide alikuwa kwenye peak!!! Still nakumbuka kwenye mashindano ya Miss Tanzania ambapo Minanawe walialikwa kutumbuiza... wakataka kufanya ki-star... Jide akabaki nyuma ya pazia akisubiria ifike sehemu yake ya kuimba ili atokeze kwa-surprise huku akitegemea full makofi! Kama kawaida ya Watanzania, wakamchunia... as if kaongia mtu wa kawaida sana hadi ikafikia Jide anaomba kupigiwa makofi!!!!
 
Hahahahahaaaa! tunajitahidi kumponda Diamond. Heaven on Desert mwambie kakamondi aongeze juhudi, mwakani nitaendelea kumpa support. One Love!
 
Hii nchi hatutakaa tuendelee kamwe manake wengi wetu tumejawa na wivu wa kijinga... Unaweza kuona Wasanii wenzake ndio wanaongoza kufurahia Diamond kukosa tuzo... roho ya kwanini inatutafuna!!! Hizi roho za kwanini zinatafuna hadi soka letu... utashangaa midume mizuri kufuri zinaning'inia kwenye suruali wanashangilia timu ya kigeni dhidi ya ile ya home... roho ya kwanini!!Wasanii na mashabiki wao wenye roho ya korosho hawafahamu kwamba Music Labels kubwa duniani zina ofisi South Africa na Nigeria coz' wanamuziki wa huko wanafahamika... sisi tunataka atoke yule tunayempenda sisi tu, aliyekuwa nominated kama si wetu basi heri akose ili TUKOSE WOTE... NI USHAMBA ULIOJE!!! Yaani hapa watu wanavyoongea unaweza kusema huwa wameshwahi kukaa meza moja na Diamond na kuna siku akamzingua kwahiyo hasira zake anaona heri akose tu... utashangaa, wengine hata kwenye show zake hawajawahi hata kwenda tuseme labda alikuzingua kwenye show!! Sasa chuki na bifu linatoka wapi... TUKOSE WOTE, kv uliyemtaka hakupata nafasi??? Kwani hakupata nafasi kwa ajili ya Diamond au hakupata nafasi kv hafahamu biashara ya muziki wa kisasa inafanyika vipi!!!Jambo moja lipo clear hapa! Wengi wenu mnaomponda hamjafikia japo nusu ya mafanikio yake... labda mumtishe na hivyo vi-degree vyenu mnavyosihia kulipwa salary ya Laki 6 kwa mwezi kabla ya kodi wala PPF!!! Labda hiki ndicho kingine kinatusumbua... tumesotaa weeee.... na ma-HGK, ma-PCM, ma-CBG na makadhalika... halafu anakuja mwingine anapiga short cut....aaaaargh, inaumiza aisee!!
 
watu wanapojadili muziki kaa kimya, kama umewajuwa mafikizolo mwaka huu pole nyinyi ndio mnaompotosha diamond.

Kwahiyo unanilazimisha kusema kile unachopenda, chuki ni mzigo mzito sana kubeba.
 
we peke yako ulikuwa huwajui ndo nyie mmeanza kusikiza mziki baada ya diamond kuanza kusikika...huna hadhi ya kubishana na watu haa jiandae uende tuition...mchikidown ukapge pindi!

Umevurugwa ww si bure.
 

Mkuu w ni great thinker.
 

nazdaz
Kwanza bange zako peleka kwenu,hakuna aliyemtaja allykiba hapa..

Pili,kama umenielewa tangu mwanzo simchukii diamond wala mzki wake ila nachukia mbwembwe zake za kitoto(mfano:kumtuma afisa habar wake kuja kutudanganya kuwa jina lake limewekwa kwenye HWF wakat hata tupac mwaka huu ndo atawekwa).

TATU,diamond hakusema "nimesaidia kumtangaza davido tz" yeye alisema "nimemtoa davido" hakuweka neno lingne lolote mbele,kama hayo maneno aliwapa mkiwa geto,who is to blame.?mimi au yey.?na hata kama angesema hvo kulikua na haja gani kwani davido amewahi kusema "nimemtoa diamond kimataifa",.?

Alafu kwanni mashabiki wa diamond mnaumizwa sana Allykiba aliyefulia.?Kila kitu nyie mnamuingiza Allykiba wakat huohuo mnasema amefulia,je angekua hit si mngekufa kabsa nyie.?

NasDaz
 
Last edited by a moderator:

Vipi kuhusu madam kwenda maana siku tu ya nomination zimetoka akasema cant wait to see my sisters LA vp wapambe BET hawajawaruhusu lol
 
Ebu usituchekeshe apa, zile kura zilikuwa ni za wa tz tu, ndomo awashinde akina davido kwa lip?
hicho nilikigundua mapema saana kuona kwa nin wale washindani wengine hawana kura alafu wanajulikana afrika nzima wakati huyu wakwetu anajulikana bongo tu na nchi chache za jirani alafu ana kura kibao
 

Inaelekea kila sehemu unayopita unakuta watu wanasifia elimu wakati wewe hauna hivo hasra zako ni kutukana degree za watu..

Ebu sikiliza we pimbi,kwa sisi watu waelewa hatujatafta elimu ili itupe mshahara ila tumetafta elimu ili itupe uelewa wa kipi ni sawa na kipi sio sawa,huwez kukuta msanii mwenye elimu kma niki mbishi anavua suruali jukwaani,au anasema nina bilion1 benki wakat hana,au aNaandikwa kwa mambo ya kitoto kila siku kwenye magazet..

Hiyo ndo faida ya elimu,generally ukiwa na elimu unaishi kwa amani zaid ya yule asie na elimu hata kama amekuzidi mafanikio..

Kama elimu ingekua na maana ya mshahara kama unavotuamisha wewe familia tajiri zisingesomesha watoto wao..

Sumaye alisoma wakat tayar ana kila kitu,umaarufu,pesa na heshima nchini,lakin bado akarudi darasani,alafu wewe na bange zako za sinza unataka u underestimate elimu.!!!!!

NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu kumbe unakumbuka bibi bomba alivyokuwa akijishau? Manina tupa kule kimekuwa kipole kama hakipo, ngoja nikamchambe kwanza uko insta nimpe swaumu vzur

Hahahaaaa binamu utamtoa Swaumu bana kuwa na Subra
 

Masikhara hayo..
My number one iwe mbele ya AYE au EBENADO ya TIWA SAVAGE.???
 

Hahaaa binamu mwambie huyo kwan lazima hata 9ja wapo wanaoponda Davido waangalie blog zao wasome comments
 
Ndio Dangote ndio aliomtoa Davido East Africa kwani mwanzoni tulikuwa hatumfahamu kabisa.

Sio tulikuwa sema ulikuwa usimsemee wenzio bana.... Davido asingejulikana Ruge asingemuita Fiesta, Domo kamjulia Davido kwenye fiesta ndio wakafanya remix ya my number one.

Kaa humo
 
Afu cha ajabu siku hizi hadi chuki ziko kwa watoto wa kiume wenye ndevu zao,,teh teh teh hizo mambo waachieni kina dada. Unamponda Diamond wakati hata robo ya mafanikio yake hujayapata ndio kwanza unakaa kwenu unagombea maandazi na wadogo zako.

Diamond kajitahidi hapo alipo sio jambo dogo ila kashindanishwa na wakali zaidi yake na davido alistahili kuchukua no doubt. Ila waBongo tupunguze chuki.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…