The problem with you guys mnadhani kila mmoja ana equal and same taste in music as everyone else!!! Mtu kama sio mpenzi wa muziki wa SA, how do you expect atawafahamu Mafikizolo? Mtu kama si mpenzi wa Nigerian Music, how do you expect him/her amfahamu Davido? Fanyeni research... msije mkashangaa hadi leo kuna watu hawawafahamu P Square lakini wanawafahamu wanamuziki wa kawaida kabisa kutoka Mashujaa Band!!! BInafsi, sikupata kabisa kuupenda muziki wa Congo ingawaje back 1990's ndo ulikuwa una-hit lakini sikuwahi kuupenda! Na kama si kwamba enzi zile, hatukua na choices kwenye TV, sidhani hata kama hao akina Bongoman ningewafahamu lakini kv ndicho pekee kilikuwa kinaoneshwa na hakuna option unalazimika hivyo hivyo lakini niulize nikutajie nyimbo 3 za Bongoman, sizijui....Kama ni hivyo, wengi wenu mtakua mmeanza kufuatilia muziki baada ya Diamond kutoka. Jamaa ni wakari na walitoka kabla minanawe hawajamtoa Lady Jaydee hivyo kama umewasikia mafikizolo mwaka huu basi fahamu kua hauna hadhi ya kubishana ktk mambo ya Muziki.
Mwisho, si kweli, NARUDIA, SI KWELI unaposema eti "kabla minanawe hawajamtoa Lady Jaydee!" Minanawe hawajamtoa Lady JD... Minanawe walfanya kolabo na Jide wakati tayari Jide alikuwa kwenye peak!!! Still nakumbuka kwenye mashindano ya Miss Tanzania ambapo Minanawe walialikwa kutumbuiza... wakataka kufanya ki-star... Jide akabaki nyuma ya pazia akisubiria ifike sehemu yake ya kuimba ili atokeze kwa-surprise huku akitegemea full makofi! Kama kawaida ya Watanzania, wakamchunia... as if kaongia mtu wa kawaida sana hadi ikafikia Jide anaomba kupigiwa makofi!!!!