Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

lakini angalau kawekwa kwenye HOLLYWOOD WALK OF FAME maana sidhani hata mtu kama Ben Stiller, Taye diggs, sanaa lathan, Omar Epps wamepewa hiyo heshima
 

Aendleee KUHONGAKILI AWARD WAMPE KUMINAMBILI KABISA ILA KULE ATA AKALALE BAGAMOYO ATASIKIA KWENYE BOMBA I MEAN
 
hiyo walk of fame hata hajawekwa Watu wamekuja kutulisha matango pori huku ndani

Yani hyo hata sio mada..
Ni kitu kisichowezekana na hakiji kuwezekana,..
Jay z mwenyewe mpaka leo analilia awekwe na hajawekwa..
 

chezea davido wewee
sio wema yule ukivua skirt anavua nguo ya ndani


bigup davidoo napanga kumpamwanangu wa kiume december jina la davido tifauti huyu atakuwa eng wandege sio muuzasura
 
Anae weza anaweza tu kudadadeki jamaa kaishajichukulia tunzo yake kilaini,
 
Hakuna hajajitahidi ila angalie jinsi gani ya kuweza kupambana na Waafrika magharibi na aangalie watu wanaofaa kuwa kwenye timu yake haswa kwenye mambo ya kimataifa.

for me kajitahidi and I can say it again kuwa kajitahidi.

ila kwenye team yake nakubaliana inabidi abadilishe aipange haswaa
 
lakini angalau kawekwa kwenye HOLLYWOOD WALK OF FAME maana sidhani hata mtu kama Ben Stiller, Taye diggs, sanaa lathan, Omar Epps wamepewa hiyo heshima

Haki ya Mungu watakukoma na hio kebehi ya HWF hahahahah
 

Ngoja ajifariji labda kweli inawezekana anaamini hivyo
 
Tatizo Wabongo tunapenda kweli kujidanganya. Kweli kabisa mlijua Diamond atachukua tuzo ya BET?
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…