Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Insta kimyaaa lol..
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..
Mi naona afadhari,kwasababu angechukua domo,tusingelala kwa kelele,kama KUWA nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye Hollywood hall of fame,je angechukua.?
Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..
lakini angalau kawekwa kwenye HOLLYWOOD WALK OF FAME maana sidhani hata mtu kama Ben Stiller, Taye diggs, sanaa lathan, Omar Epps wamepewa hiyo heshima
Haya tunaita maneno ya mkosaji..
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za mtv,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..
Mi naona afadhari,kwasababu angechukua domo,tusingelala kwa kelele,kama kuwa nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye hollywood hall of fame,je angechukua.?
Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..
Inabidi aache kuvaa sket kwanza ili asonge mbele..
Hakuna hajajitahidi ila angalie jinsi gani ya kuweza kupambana na Waafrika magharibi na aangalie watu wanaofaa kuwa kwenye timu yake haswa kwenye mambo ya kimataifa.
lakini angalau kawekwa kwenye HOLLYWOOD WALK OF FAME maana sidhani hata mtu kama Ben Stiller, Taye diggs, sanaa lathan, Omar Epps wamepewa hiyo heshima
Aendleee KUHONGAKILI AWARD WAMPE KUMINAMBILI KABISA ILA KULE ATA AKALALE BAGAMOYO ATASIKIA KWENYE BOMBA I MEAN
insta ukimsifia davido tu unachambwaje Watu hasira zinaishia kwako
Yani hyo hata sio mada..
Ni kitu kisichowezekana na hakiji kuwezekana,..
Jay z mwenyewe mpaka leo analilia awekwe na hajawekwa..
Jamaa kinachowagawa mashabiki wake ni tabia ya kuji promote hata vtu vya kawaida,..
Ukisoma jarida la babkubwa sijui na la mwez wa4 Lile ambalo yeye ame cover,kuna sehem anasema "YEY NDO KAMTOA DAVIDO",nilishtuka,ila nkakumbuka alivosemaga ana Bilion1 benk,nkaona kawaida tu..
Tatizo Wabongo tunapenda kweli kujidanganya. Kweli kabisa mlijua Diamond atachukua tuzo ya BET?
Ova
Yani mi napita kimya kimya ingawa i wish ningechangia kidogo ila staki kuogeshwa mvua ya matuc