Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Mimi ninaamina ukiwa investor hutakiwi kujua vitu vyote. Ila unachotakiwa na kuajiri smart people and pay them well. Inawezekana hapo kwenye kuajiri smart people ndio alipokosea au aliingizwa mjini na mtoto wa Kigogo
 
Mkuu

Upo sahihi mno!

Hapo ndipo nadhani ana udhaifu mkubwa!Na nimeshaizungumzia kwenye post zangu za mwanzo,kua jamaa anaelekea ana udhaifu mkubwa sana kwenye ku-identify business talent na kuisimamia na uzalishaji ukatokea.

Na pia nimekua shocked sana na sifa anazopewa kua ni mjanja,mtoto wa mjini,nk..Sasa sijui inakuaje anaingizwa mjini na watu hovyo kabisa kama Lemutuz?..It shows kabisa Mosha yupo overrated sana as a "talented" businessman!

I wonder,how on this earth Mosha anaesifika eti anaingizwa mjini na mtu mjinga kabisa TZ kama Lemutuz and his cronies?

Mosha hana akili kama tunavyoaminishwa!

To prove my point,naomba watuambie ukiacha malori ya kubeba mafuta ya Kobil,na mgahawa anaouita "Hoteli",Mosha ana-run kitu gani kingine monumental?.....I wait!
 
Nielimishe ametapeliwa kivipi?
 
Ngoj
Ngoja watakuja mkuu
 
Nielimishe ametapeliwa kivipi?

Kaulize how Lemutuz and his people convinced the "Bilionea" Davis Mosha to fund the opening of Swahili Media..

What happened was that..Swahili Media was a total failure,and he was forced to sell!

Cha kushangaza,hujasoma heading ya hii thread?

Au umechangia bila kuelewa theme ya uzi?

Au ungemuuliza mleta uzi akueleze vizuri what happened!
 
First things first, wewe unamiliki nini?
 
Yy anasema wameikodisha
 
First things first, wewe unamiliki nini?

Namiliki pumbu zangu!

Na wewe unamiliki nini kumtetea?

Humiliki kitu kama mimi,wewe unamtetea na mimi simtetei,we are both shit!

Kwavile hujui kucheza mpira professionally huruhusiwi kumuongelea Messi?

Stop being clown!
 
- Hahaha MArekani mimi nilikuwa najisomesha College wao wanalinda usiku na kulea matahira halafu unasema ninafanana nao? wao wamebaki mimi nimerudi mwendo ni ule ule hahahahaha pole sana!

le Mutuz
Hakuna kitu ulijisomesha zaidi ya kozi ya kingereza kisha ukafukuzwa America na kwenda Huko Dsm na kukaa kwao nyumba moja na House
 
Kuna Apartments Sinza Mori zinaitwa Delina ni za Mosha
 
Mkuu nimekusoma umeua mbaya.. lkn nina swali moja.. Huku Africa ni ngumu sana kutenganisha Siasa na Biashara.. Kama huamini njoo uingalie ITV imekuwa kama TBC... Angalia tuu heading za Nipashe . Kwa Africa ni ngumu sana mkuu.. ila nimekukubali unavyofikiria njee ya box.. Big UP
 
Huu uzi una mengi ya kujifunza lakini muache kutukanana.....wyatt na Ndjabu....

Just a small point. Rostam hakusoma Cambridge alisoma LSE, London School of Economics. Equally one of the very top education institution in the world.

Kuhusu biashara na siasa, sijawahi kuona mfanyabiashara aliyejipendekeza au kujiweka karibu na wanasiasa akawa na mwisho mzuri. Not in Africa.

In fact in sasa hivi utawala WA JPM umeanza kuwa expose. Wengi WA hawa wafanyabiashara wameishi kwa kukwepa kodi. Wakati walikuwa wanaaminisha umma kwamba in mafanikio yao. Ndo maana wengi Sasa hivi uhai wao kwenye biashara uko mashakani.
 
mkuu hivi kwenye serikali hii kuna Mfanyabiashara ambae hajipendekezi kwenye serikali.. Unaona jinsi wapinzani wafanyabiashara wanafilisiwa? nitajie tajiri hata mmoja ambae yupo Upinzani hapa Tz
 
mkuu hivi kwenye serikali hii kuna Mfanyabiashara ambae hajipendekezi kwenye serikali.. Unaona jinsi wapinzani wafanyabiashara wanafilisiwa? nitajie tajiri hata mmoja ambae yupo Upinzani hapa Tz
Ukiwa tajiri achana na mwanasiasa, jifanye huna chama
 
mkuu hivi kwenye serikali hii kuna Mfanyabiashara ambae hajipendekezi kwenye serikali.. Unaona jinsi wapinzani wafanyabiashara wanafilisiwa? nitajie tajiri hata mmoja ambae yupo Upinzani hapa Tz
Hata Devis mosha anaogopa kumfukuza Le mutuz kwa sababu Le mutuz atamchongea unaa kwa Maliyamungu Bashite na kwa viongozi wegine wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…