Matola unafeli mno...
Wewe unadhani uhuru ni consumer based perception kama unavyotoa hapo?
Inaonesha unaendeshwa na consumerism tupu.Mtu hapimwi katumia nini wewe mtu,mtu anapimwa kaleta turnover au kabadili sector au maisha ya watu kwa kiwango gani na sio hayo unayofikiria.
Kununua nyumba London,kwenye physical address ipi wewe?Anaweza kununua apartment au lower end housing unit ambayo waTZ wengi tu tena wafanyakazi wa mashirika hapo sijasemea wafanyabiashara wanazo huko na mifano ninayo,hawezi nunua nyumba ya say 12mil GBP wewe,kafie huko!
Nyumba watu wa kawaida wengi TZ wananunua UK,US,etc...zinapoanza kuzidi 3mil USD ndio hata Mosha hakatizi.To begin with,Mosha ameshindwa kua na residence Masaki,hawezi na hana hela hiyo,hivyo by deduction units anazoweza nunua abroad ni lower end and very cheap na vichache...Case closed!
Kuhusu safari,mkuu hebu kua serious....wafanyakazi wa serikali wenye mishahara midogo wanaenda na familia zao kila mwaka,sembuse mfanyabiashara?Ndio kitu cha kuongelea hapa kua ni maendeleo mkuu?Tuweni serious.
Ukweli ni kua,Mosha ameshindwa kuendesha ile media company sababu ana akili ndogo,competition ni kali,inatakiwa ubunifu masaa 24 ili media company isimame,theory yangu inabaki palepale,yeye anaweza biashara zisizohitaji know-how kama biashara ya malori...
Kawa exposed,he has been smoked!
Kubalini tu,sio lazima ajue kila kitu,yeye ni kibaraka wa CCM sio mfanyabiashara....ni mwanasiasa uchwara who happen to do business to make a living...mfanyabiashara wa kweli humkuti kwenye siasa,ni 100% kwenye biashara aka Bakheresa,Mengi and others..Fake businessmen are Mo Dewji,Manji,Mosha na wengine unaowaona NEC ya CCM humo...
Hey,one another thing...hawa ni wachezaji sisi ni washabiki,ndio maana wewe unaweza kumlaumu Messi kwanini anacheza vibaya au Ronaldo au Salah,kwanini wewe binafsi siende kucheza kama unajua sana?Jibu ni kua sisi ni washabiki,wao ni wachezaji,tunaruhusiwa kuchambua the way we want about them ndio maana ni public people.Hivyo ninavyokaa hapa namchambua Mosha nipo sawa kabisa japo mimi sio mchezaji kama yeye!