Ujinga wake ni kujitetea alipovamiwa ? Au kukubali msaada wa mabeberu ?Kajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!
Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
Ya zuchuSukari wewe ya nini!?
Na pia alikuwa na lengo la kutaka kumsimamisha kibaraka wake kwa ajili ya watu wa Ukraine kama alivyojaribu kwenye yale majimbo aliyofikiria amyeyanyakuaKwani kuna sehemu Russia alisema anataka kuipinduia kivu? [emoji848]
ππππππππππ€π€π€π€π€π€π€π€πππππComedian president, Zelensky very arrogant ever, yaani US wanamdanganya, kaingiza nchi yake katika vita na kuua kabisa nchi nzuri ya Ukraine, sbb ya ujinga tu wake, leo ana hangaika na kujuta hakuna wa kumsaidia, hata ndevu kunyoa tu hana muda na hawezi sbb ya shida aliyoleta ya Vita Ukraine, yaani kulikuwa hakuna sbb ya vita hii ya Ukraine kabisa, ila sbb huyu ni Bongolala ndio kaingizwa mjini na US, inaumiza sana kaua nchi nzuri kabisa Ukraine, leo Ukraine ni magofu sbb ya huyu mtu anaitwa Zelensky, hafai kabisa kuwa hata mwenyekiti wa mtaa huyu
Lakin dikteta Putin kwa uoga wake kajificha Moscow kama nguchiro,Mwamba Zelensky anapiga misele na hakuna wa kumfanya kitu.Haha kiboko huku anarandaranda kupitisha bakuli... Kavita kamekua kagumu muungano wote umesanda kwa mtu mmoja Putin.......
Ameshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe hurumaLakin dikteta Putin kwa uoga wake kajificha Moscow kama nguchiro,Mwamba Zelensky anapiga misele na hakuna wa kumfanya kitu.
Ameshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe hu
Amemega nini Sasa wakati hawezi hata kwenda kupatembelea! Nguchiro kajichimbia kwenye mahandaki ya Kremlin kumuogopa ZelenskyAmeshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe huruma