DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

Kajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!

Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
Ujinga wake ni kujitetea alipovamiwa ? Au kukubali msaada wa mabeberu ?
 
Ukiona hiyo nembo ya World economic Forum , hao ndio shakers na movers WA huu ulimwengu , a bunch of evil people
Ndio wanaowatumia watawala wa huu ulimwengu kama puppets
 
Kwani kuna sehemu Russia alisema anataka kuipinduia kivu? [emoji848]
Na pia alikuwa na lengo la kutaka kumsimamisha kibaraka wake kwa ajili ya watu wa Ukraine kama alivyojaribu kwenye yale majimbo aliyofikiria amyeyanyakua
 
Jamaa anavaga nguo ,na safety buti kama vijana wa Tanesco.
 
Comedian president, Zelensky very arrogant ever, yaani US wanamdanganya, kaingiza nchi yake katika vita na kuua kabisa nchi nzuri ya Ukraine, sbb ya ujinga tu wake, leo ana hangaika na kujuta hakuna wa kumsaidia, hata ndevu kunyoa tu hana muda na hawezi sbb ya shida aliyoleta ya Vita Ukraine, yaani kulikuwa hakuna sbb ya vita hii ya Ukraine kabisa, ila sbb huyu ni Bongolala ndio kaingizwa mjini na US, inaumiza sana kaua nchi nzuri kabisa Ukraine, leo Ukraine ni magofu sbb ya huyu mtu anaitwa Zelensky, hafai kabisa kuwa hata mwenyekiti wa mtaa huyu
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍
 
Haha kiboko huku anarandaranda kupitisha bakuli... Kavita kamekua kagumu muungano wote umesanda kwa mtu mmoja Putin.......
Lakin dikteta Putin kwa uoga wake kajificha Moscow kama nguchiro,Mwamba Zelensky anapiga misele na hakuna wa kumfanya kitu.
 
Lakin dikteta Putin kwa uoga wake kajificha Moscow kama nguchiro,Mwamba Zelensky anapiga misele na hakuna wa kumfanya kitu.
Ameshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe huruma
 
Ameshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe hu

Ameshawamega shida yake nini tena..... Rudisheni hiko kipande kilicho megwa......... Huyo anapiga misele kutembeza bakuli na kuomba waonewe huruma
Amemega nini Sasa wakati hawezi hata kwenda kupatembelea! Nguchiro kajichimbia kwenye mahandaki ya Kremlin kumuogopa Zelensky
 
Kagame mjinga mwizi na mvamizi leo Congo na Burundi wamemfungia mipaka , Tz enzi za JK tuliingia mgogoro jirani yake Uganda wamewahifungiana mipaka karibu miaka 2 sasa huyu kenge kwenye jumuiya ya EAC tunamfuga wa Nini?
 
Back
Top Bottom