wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Toka nimekua maumivu ni Haya Haya hadi sasa na nimetumia Dawa nyingi bila mafanikioPole sana dada;
Ili upate ushauri muafaka ungefafanua kidogp
1. Tangu ukue/umevunja ungo linakuuma hivyo hivyo?
2. Kama maumivu yameongezeka, kuna kitu chochote ulipitia kama miscarriage au kuzaa?
Asante sanaPole sana mkuu.
Pitia huu uzi;
Msaada: Period (hedhi) inanitesa
Period za hawa shoga zako zinaambatanaga na majini visirani ila yako wewe mummy huambatana na malaika watakatifu embu wape pole yao tu As if kuna aliyejiumba.www.jamiiforums.com
We Mzee ulipata ajira zile za TBC?Dyudyu yangu inaweza kuzuia hayo maumivu daima
Zile zinataka mtu wa Degree afu Mm nimeishia form four 😭We Mzee ulipata ajira zile za TBC?
Za editor
Hio haisaidiiUmefurahi Eeh Qashy Lilith 😀😀
Sawa,utatupa mrejesho ukianza ili uwasaidie na wenzako kama hiyo njia inasaidia...😅😅😅Daa! Inabidi nifanye kwa usalama wangu
Ok zitatangazwa nyingineZile zinataka mtu wa Degree afu Mm nimeishia form four 😭
Mimi bila brufen hali ni mbaya. Na usisubiri tumbo lianze kuuma ndio umeze. Kunywa kila baada ya masaa 6.Asante dear
Mimi toka shule sijawai pona, ila ngoja nizingatie ushauri niondokane na hii adha.Mimi bila brufen hali ni mbaya. Na usisubiri tumbo lianze kuuma ndio umeze. Kunywa kila baada ya masaa 6.
Ila kunywa haya madawa ya hospitali kila mwezi huwa nawaza sana madhara yake. Sijapata tiba mbadala .
Mimi pia. Wengine wanasema ukizaa maumivu yanaisha lakini haijawa hivyo kwa upande wangu maumivu kama kawa😀Mimi toka shule sijawai pona, ila ngoja nizingatie ushauri niondokane na hii adha.
Daaah! Hahahaaa ila mkuu kweli wewe ni Mad Max 😂😂🔥Huyu anatumiaga painkillers (sana sana Vivian Plus) na anachemsha maji anaweka kwenye chupa ya 1L mfano Hill au Uhai kisha anazungusha taulo anaikumbatia anaenda chumbani.
Hapo mi nacheza COD: Black Ops 6 kwenye PS5.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Kabisa anatakiwa azaeDawa ni mimba tu