Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

Dawa ipi inafaa kwa Tumbo la Period?

wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.

Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?

Pole sana dada;
Ili upate ushauri muafaka ungefafanua kidogp
1. Tangu ukue/umevunja ungo linakuuma hivyo hivyo?
2. Kama maumivu yameongezeka, kuna kitu chochote ulipitia kama miscarriage au kuzaa?
 
Pole sana dada;
Ili upate ushauri muafaka ungefafanua kidogp
1. Tangu ukue/umevunja ungo linakuuma hivyo hivyo?
2. Kama maumivu yameongezeka, kuna kitu chochote ulipitia kama miscarriage au kuzaa?
Toka nimekua maumivu ni Haya Haya hadi sasa na nimetumia Dawa nyingi bila mafanikio
 
😅😅😅Daa! Inabidi nifanye kwa usalama wangu
Sawa,utatupa mrejesho ukianza ili uwasaidie na wenzako kama hiyo njia inasaidia...

Usisahau kuwanyonyesha pia.Maana bila shaka nayo unafahamu faida yake.
 
Asante dear
Mimi bila brufen hali ni mbaya. Na usisubiri tumbo lianze kuuma ndio umeze. Kunywa kila baada ya masaa 6.

Ila kunywa haya madawa ya hospitali kila mwezi huwa nawaza sana madhara yake. Sijapata tiba mbadala .
 
Mimi toka shule sijawai pona, ila ngoja nizingatie ushauri niondokane na hii adha.
 
Huyu anatumiaga painkillers (sana sana Vivian Plus) na anachemsha maji anaweka kwenye chupa ya 1L mfano Hill au Uhai kisha anazungusha taulo anaikumbatia anaenda chumbani.

Hapo mi nacheza COD: Black Ops 6 kwenye PS5.

Kila mtu ashinde mechi zake.
Daaah! Hahahaaa ila mkuu kweli wewe ni Mad Max 😂😂🔥
 
Back
Top Bottom