Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu.
Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
Pole sana dada;
Ili upate ushauri muafaka ungefafanua kidogp
1. Tangu ukue/umevunja ungo linakuuma hivyo hivyo?
2. Kama maumivu yameongezeka, kuna kitu chochote ulipitia kama miscarriage au kuzaa?