🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni crossed kwa kweli
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi wako anafanana na mimi kihisia. Nadhani kunanjia flani ya ku handle watu wa aina yetu wala usijari tutakuelekeza japo hilo la waganga huwa linadunda sana juu yetu na usishangae ukilitumia tu mambo yakawa magumu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liliopo mwenza wako kuna mawili amepata mpya au anaweka mtego wa kukucontrol baadae. Kama utataka nitakusaidia njia ya kumrejesha ila sio kwa uganga pia kwenye hii njia kuna kumrejesha na kumpoteza.Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts
Mwanaume ndo anatakiwa kuchek na muda ila si mwanamkeItajulikana mbele
Humu tuna mganga wetu Jf anaitwa mshana Jr huyu hatozi hela nyingi. Unampa kuku wa kijani tu sio lazima awe wa kienyeji hata wa kisasa anapokea.
Utakuwa sawa baadae, tafuta vitu vya kikudistract si rahisi ila fanya kama unameza quinine
Inabidi liwepo jukwaa la waganga ili wawarahishie.
Mtafute Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo serious huta kuja kumuacha na una malengo nae tatizo hilo dogo sana njoo pm nikupatie muongozo tatizo lako limeisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi yana run dunia [emoji132] ila mmbo hya bhn n kujiendekeza ila sidhan itakuja tokea siku nikaenda kwa mganga kurudisha mpenzi kama hatak tuelewane bas kama mbaya mbaya na pia dada Kimbisa hayo mawazo hebu jitahd uyaache maana mawazo yanaua ujue ila kwa mambo mengne mm sina msaa mm mapenz kwangu huwa n ya kigumu hta nilienae nampenda lkn hajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata wew hujaona sababu. Mi dem alinifanya kitu mbaya acha tu. Mana alianza kunikosoa vitu vya ajabu, mara usipake mafuta flan sipendi harufu yake, leo hujachana cjui na vitu vya ovyoooo. Mwisho wa siku napiga simu linapokea dume, nikalitukana na ndo kuanzia hapo nikamtema demu. Kufatilia kumbe kashobokea PASSO ya mkopo... Sikuumia kwa sababu nyingi tu nilizonazo mf. Saiv simlipii kodi ya nyumba, pesa za saloon sitoi, za kula n.k. Pia I'm handsome nachagua nimtakaye, so what. I'm almost the happiest before then
Tatizo liliopo mwenza wako kuna mawili amepata mpya au anaweka mtego wa kukucontrol baadae. Kama utataka nitakusaidia njia ya kumrejesha ila sio kwa uganga pia kwenye hii njia kuna kumrejesha na kumpoteza.
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Nitafute dada, sijui waganga ila nina kaushauri naimani utakusaidia kwa kiasi fulani.
huu mwaka 2020 me ni muweka hazina, ila kuanzia 2009-2019 nilikuwa mwenyekiti.
Ukiachwa achika.ukitemwa temeka unakomaa ili iweje unajua Mipango ya Mungu kwako..kwa ufupi huyo hakufai...yupo anaekufaa zaidi.tulia cut off all contact na yeye..
Sent using Jamii Forums mobile app