Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Mie nakula mayai mabich tangu nipo na 20+mpaka sasa nina30+ nina mvi balaaa...hiyo ni ukoo tu..dawa ni kutumia maganda ya viazi lkn uwe mvumilivu siyo jambo la siku moja
Hayo maganda ya viazi unayatumia vipi?
 
0718 582734, mtafute huyo mama wa kihaya anayodawa ya miti shamba.
 
Ukiwa na mvi huchaguliwi kuwa mkuu wa wilaya
 
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu.



Pole, mimi nina hamu nazo kweli yani. Nazipenda sana. Halafu natamani kuona huku chini kukijaa mvi kunakuwaje
 
Back
Top Bottom