Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Wakuu,
Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.
Asanteni
Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame, mm ni gen ZNdiyo uzee huo.
Kipo utosiniHicho kipara kiko wapi sasa ......
Weka upara huo wataalamu tuuone kwanza.
Kiweke hapa tukupe dawaKipo utosini
Kiache hivyohivyo ndio unaonekana msomi na boss kubwa.Wakuu,
Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.
Asanteni
Mkuu sitanyofoa na zilizobaki, anyway napaka nionePakaa Pilipili Mbuzi kwa muda wa siku 3 utakuja kunishukuru.
Ila jeifu, mpaka muone, nipeni dawa aseeeKiweke hapa tukupe dawa
Hak ya nan nmecheka sana.
Cha kamunyweso, ila usinishauri kuacha
Wakuu,
Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari.
Asanteni
Ulikua wapi mkuuu
Asante sana
Mkuu Usiwaze sana hiyo unaweza kuitengeneza mwenyewe. Achana na wanaojifanya much know badala ya kunyamaza lakini wanaandika wanayoyajua wao.Ulikua wapi mkuuu