Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Soma tangazo lile na ulielewe, utapata elimu ambayo ulikuwa huna.Hebu weka jibu la hiyo hoja ya kwanza toka kwenye hilo tangazo
Ulikuwa kwa ujasiri kabisa ukionyesha namna usivyoyajua haya masuala ya mikataba.