Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

 
Hayo makubaliano na waarabu
Baadae yanatokea ya ZANZIBAR
Mwarabu kawekeza kwenye Hotel miaka 100
Matokeo yake kafukuza wafanyakazi wote kaibomoa na kuacha ghofu mpaka sasa
Hakuna cha maana zaidi ya kuteana nyasi mwani tu hotelini watu wamekosa ajira wakabaki kumangamqnga na vibarua mitaani
Ndo kinachotaka kufanyika kwenye bandari
 
 
Suala la Umeme huyu Rais ameshindwa kabisa?....
Haiwezekani umeme unakatika 14 hours...hapo hapo kuna zima washa nyingi tu...
Hili shirika ni hovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom