Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
- Thread starter
- #101
Umenikumbusha kuna siku nimevaa kiatu kirefu nimeenda church kanisa lilikua mbali kdg ila ni chuo humo humo in campus aiseeee mbona na tembea ilibadilika? Nimefika kanisani hoii nawaza saa ya kurudi itakuwaje niliondoka misa haijaisha nikapita chocho huko nikavua viatu nikakimbia hadi hostel. Kaa na wanawake kistaarabu ndo tushaumbwa hivi acha ubabe 😆 😆 😆Sad story ni kwamba huwa sientertain vitu vya kijinga jinga.
I'm very humble person, ila mwanamke akishaleta vitu vya kijingajinga atanijua.
Yaani mtu asuke kwa starehe zake, kichwa kimuume aanze kunisumbua, atanijua vzr.
Ndio yale unatoka mke amevaa high heels akianza kushindwa kutembea, kimya kimya avue viatu aweke kichwani. Otherwise nitamnyoosha.
Mambo ya kuleana kijinga huwa sientertain.