Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kulala weka kichwa juu ya mkonoBalaaa mdogo wangu. Ila kutakucha
Eeh hivo sawaNdo naanza hivyo au paji la uso siumii sana
chukua Pole my dear, tumia lidocaine spray, zinapaticana kwenye pharmacyJamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala yani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali....
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipoozaje? Maana
Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali.
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
Dawa yake ni mkasi hakika zitapoa hapohapoJamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali.
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
Kama ulitumwa then aliyekutuma ndio alistahili kuandikiwa hii thread.Nikisema nimetumwa utakua na ushauri?
Tuliza munkari we bwa shee unadhani huo udikteta wako wanaume wote wanao? Halafu kuwa mkali mkali unadhani ndo uanaume? Nyie ndo wanaume mnajisemeshaga humu kwny mitandao ila huko makwenu mnabamizwa na wake zenu.Mimi mke wangu asije siku kuanza kunilalamikia usiku kwamba nywele zinamuuma sijui nini.
Nitamuwasha kofi hatokaa anisahau.
Akisuka nywele zikiuma aumwe kimyakimya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mke wangu asije siku kuanza kunilalamikia usiku kwamba nywele zinamuuma sijui nini.
Nitamuwasha kofi hatokaa anisahau.
Akisuka nywele zikiuma aumwe kimyakimya.
Pole aisee nywele ya uzi inaumaBy the way nimeamka salama na nywele zimepoa poa. Natafuta hizo dawa hapo juu napaka mambo yanakua poa
[emoji1]sina hamu na hizo nywele niliwahi suka zilikaa wiki nikatoa nilikuwa naionea huruma hela yanguNi nyuzi ndefuu zile neneee kwanza chache tuu labda ndo maana zinauma sana
Tuliza munkari we bwa shee unadhani huo udikteta wako wanaume wote wanao? Halafu kuwa mkali mkali unadhani ndo uanaume? Nyie ndo wanaume mnajisemeshaga humu kwny mitandao ila huko makwenu mnabamizwa na wake zenu.
We pambana, zikiuma sana kanyoe kipara. Siyo kusumbua watu.Hii jamii Forum ni yako? Hukutakiwa hata kujisumbua kusoma kama imekukera.
Hyo ni wewee babu weeSad story ni kwamba huwa sientertain vitu vya kijinga jinga.
I'm very humble person, ila mwanamke akishaleta vitu vya kijingajinga atanijua.
Yaani mtu asuke kwa starehe zake, kichwa kimuume aanze kunisumbua, atanijua vzr.
Ndio yale unatoka mke amevaa high heels akianza kushindwa kutembea, kimya kimya avue viatu aweke kichwani. Otherwise nitamnyoosha.
Mambo ya kuleana kijinga huwa sientertain.