Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

Mnalalamika hatuwafikishi kileleni kumbe wakati unamgegeda mwenzako anasikilizia maumivu ya nywele zilizokazwa hisia hazipo kwenye tendo kabisa
 
Screenshot_20221028-234120_Google.jpg

Nywele kama hyo ila ya uzi sasa. Huyo hajasukia uzi huu wa kawaida.
 
Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala yani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali....

Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipoozaje? Maana
Mwagia mafuta ya nazi mengi ccy
 
Mwagia mafuta ya nazi mengi ccy
Leo mnanipa ushauri murua ila kila kitu sina humu ndani. Ukisikia kufa kwa nyani ndo leo hapa nina mgando blue magic tuu na Radiant ya mba
 
Leo mnanipa ushauri murua ila kila kitu sina humu ndani. Ukisikia kufa kwa nyani ndo leo hapa nina mgando blue magic tuu na Radiant ya mba
Uuuuh Leo utalala kichwa juu😅
Ungekua na mafuta ya nazi ungejimwagia nusu saa tu maumivu yashaisha
 
Kumbe za nyuzi.......🙆🙆🙆 nywele za Uzi mhhh mim hapana nishawai kusukwa nkaanza kulia saloon nzima wananicheka.
Kwanza nlihama kabisa hyo saloon
Hata sio nyingi elfu 30 tuu pomoja na nyuzi huku kwetu bado tunasukana ki ujamaa. Ila kwa usawa huu acha tuu nivumilie
 
Back
Top Bottom