Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

Umenikumbusha kuna siku nimevaa kiatu kirefu nimeenda church kanisa lilikua mbali kdg ila ni chuo humo humo in campus aiseeee mbona na tembea ilibadilika? Nimefika kanisani hoii nawaza saa ya kurudi itakuwaje niliondoka misa haijaisha nikapita chocho huko nikavua viatu nikakimbia hadi hostel. Kaa na wanawake kistaarabu ndo tushaumbwa hivi acha ubabe πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Pole cute,Dawa ni kulalia ivoivo la sivyo utakesha nazo three days
 
Ha ha haaa...kama nakuona unavyosepa
 
Nikiwaza hizi tabu naghairi kabisa kusuka ni mwendo wa low cut tu. Pole mrembo.
 
Kama ni kwenye shughuli za sherehe unataka avae kandambili??
Tunaenda na fasheni babu weee[emoji2]
 
Siku ingine usisuke uzi,tafuta nywele uki-crochet.Kuna styles nyingi zimetoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…