mkuu hata mimi nimeshindwa kuelewa au labda wengine wanakunywa hilo vumbiSidenafil huwa si zinamezwa(oral route) sasa kuna connection gani na vumbi ambalo huwa unapaka juu ya uume! Waandishi wa habari kazi yao kuripoti tu bila kuuliza maswal kma haya!!
viagra unameza na vumbi wanapaka sasa sijaelewa hili au hilo vumbi lipo jengine wanamezakwani hio dawa hua ni ya kumeza au kupaka ?
unaweza ukapaka viagra ?
watumiaji hebu nisaidieni hapa
Wameamua kuwaharibia wahuni show, inaonekana huyo fala aligongewa mkewe kwa vumbi la congo baada ya kufuma meseji mkewe akimsifia king'asti wake kaamua kwenda kuharibu kitengo 😂😂😂Sasa hawa mbona wanatuondilea silaha yetu ya mahangamizi kwa wale wanawake wala nauli
Hio inaitwa ukitaka kumuua mbwa muite jina bayaviagra unameza na vumbi wanapaka sasa sijaelewa hili au hilo vumbi lipo jengine wanameza
sio perfume sema spray ya kuchelewesha kumwagaKuna hii nayo sijui kama imefika uko hii ni parfum inaitwa stud100
Hii ina kufanya umwage baada ya saa moja ila vijana kuweni makini View attachment 2306328
Unashangaa vipi au nawe ushasaini ini chama la wale
Mkongo inapakwa. Viagra inamezwa, sasa hapo wamechanganyaje?Kama nawaona vile wazee wa kujibusti wanavyosoma habari hii huku wameshika tama 😂
Naona ile vicks itapanda bei, ngoja nianze hii biashara huenda nikatajirikia humu.
Nimejiuliza sana swali kama hili bila majibu, humu kila mtu anapiga kelele imechanganywa na sidenefil na tadanefil, labda kuna mikongo ya kunywaSidenafil huwa si zinamezwa(oral route) sasa kuna connection gani na vumbi ambalo huwa unapaka juu ya uume! Waandishi wa habari kazi yao kuripoti tu bila kuuliza maswal kma haya!!
kwa mujibu wa maelezo ni kama dawa ilikuwa kwa matumizi mengine ambayo hayajatajwa,ila tatizo limekuja kwakuwa ndani yake kuna mchanganyo wa nguvu za kiume.Napongeza sana hatua hii wanaume legelege mlikwisha lemaa na hi cjuw mtaenda kwenye za kichina au kihindi?Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra).
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Profesa Malebo alisema baraza katika uchunguzi wake, lilibaini dawa iitwayo Hensha maarufu Mkongo, yenye usajili namba TZ17TM0027, ilikutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume iitwayo sildenafil, kwa jina maarufu la biashara Viagra ama Erecto.
Alisema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na miongozo ya usajili wa dawa za tiba asili na mbadala.
Alisema kituo hicho kimetakiwa kuhakikisha kinaiondoa sokoni mara moja dawa hiyo, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mmiliki.
CHanzo: Habari Leo
Ndio maana,nimeamua kukiepuka Kinywaji hicho ili nisijitafutie Ugonjwa kiharusi au mauti ya ghafla.japo siyo wote but kuna watengenezaji wengine wa alkasusu wanachanganya na erecto gram 50
Labda kuna mkongo wa kunywaMkongo inapakwa. Viagra inamezwa, sasa hapo wamechanganyaje?
Umepatia haswaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameileta maksudi ili kuondoa attention ya ongezeko la 23% ya mshahara[emoji38][emoji38][emoji38]