Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Nchi inayoongoza kwa kuamini ktk Majungu, ww fanya yako unapoteza muda na mb zako ktk Majungu.
 
Picha au video ni sawa na maneno elfu moja. Tuwekee hayo maneno elfu moja hapa.
 
.....
......jina la Kamanda wa Anga kutawala vyombo vyote vya habari....wanatangaza Chama bila kujijuwa.....
 
CCM wanajua kujidanganya,

Mnasheherekea mbowe akipelekwa mahabusu Kwa hizi figisu za kisiasa ndiyo atakufa au ??

Hawakamatwi wanasiasa ,wanakamatwa na kuitwa kuhojiwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya.Kutuhumiwa si kuhukumiwa.Taratibu zifuatwe kila mmoja alipwe sawa sawa na matendo yake.
 
Maneno mengi, utulie tuone mwisho wake kama hana tatizo atarudi mtaani tu mkuu, mbona unaenda mbali sana mshauri kiongozi kuwa cooperative kama yeye ni innocent atabaki kuwa innocent ila hilo halithibitishi politically au emotionally bali technically and proffessionally. Ngoja tuone mwisho wake kwanza..


hii siasa usitumie hisia kufanya kazi za majaji na mkemia
hili la kumpa mtu kesi ya madawa wakati unajua fika kabisa ni uongo si sahihi kabisa
 
Akamatwe tu ili akanyee debe. Na ikibainika ni mhusika ile kwake
 
Atawekwa ndani na kunyimwa dhamana kisha kufunguliwa kesi ya kutoitikia wito!
Awamu hii wapinzani wakae chonjo,mateso yao kwa sinzoje ni furaha

Hii ni sababu ya kesi aliyomfungulia Makamu wa RAIS aka RC wa DAR
 
Anajimalizaje kisiasa mjomba?
Kwani alipewa taarifa kwa maandishi na jeshi la polisi akakahidi?

Au matamshi ya makonda ya kusema uripoti kutuo cha polisi baada ya siku tatu tuhuma yenyewe ikiwa ni madawa ya kulevya?

Kwa wataaluma yuko sahihi juu ya namna alivyokabiriana na jambo hili. Ila kwa sababu lengo lilikuwa ni kumdharilisha basi waendelee na yote haya watanzania tunaona. Shame on our harshly government.
 
Matumizi mabaya ya rasilimali,upuuzi tu!
 
Habari bana zikiletwa humu na Ma-Lumumba basi Chumvi kibaooooooooo mpaka wanaharibu ladha.
Yaani habari kama inakua inaripotiwa kwenye kipindi cha leo tena, umbea umbea mwingiiiii hata hatujui ulikua unamaanisha nini.
 
Matumizi mabaya ya rasilimali,upuuzi tu!
 
Ahaa jinsi ilivyoaandikwa kishabiki inakuwa vigumu hata kuamini kama habari ni ya kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…