Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa


Hahahhahahah naona mnafurahia wanaCCM ila aliaye wa kwanza huwa anacheka zaidi kuliko achakae wakwanza.Kuna siku haya mtashindwa hata kuyabeba.

Muda ni dawa,ila nina uhakika haya mnayoyafanya mtakuja kuyajutia baadaye.Nina uhakika hata Sirro anafanya haya sababu anatetea kitumbua chake tu
 
Hii serikali badala ya kufanya vitu vya maendeleo, inakazana na vitu visivyo na maana kwa mwananchi wa hali ya chini.
 
Haya akina Tundu LISU waliotunisha misuli koko wakisema hatakwenda mbona tayari anaenda? TUNDU lisu sema sasa una uongo gani au porojo gani tena za kubwabwaja?
Ameenda hau amekamatwa kwa nguvu na kupelekwa kama kweli uzi una ukweli ndani take....
 
Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!!
 
Bosi wa Bavicha nae anatupa wcwc bwana mpaka kujificha kweny apatment unaacha nyumba yk kuna nn nyuma ya paziyaaaa!!!!?????
 
Waliokua wanampa Kichwa kwenye Uzi ule wa kujisalimisha wako wapi?

Wewe Makonda kuna siku utajutia unayoyafanya.Furahia sasa hivi sababu una support ya Mkuu,kesho yako ndugu huijui?Uzuri unajua fika kabisa kwamba Mbowe hauhusiki kabisa na madawa,mnachofanya ni kutafuta njia tu ya kumnyanyasa baada ya vyote kushindwa.
 
Tuwasamehe waliokuwa wakishadidia uhuni wa Paul Makonda, wao na waliomshadidia ni watu wanaochelewa kuelewa, au tuwaite 'low birth score'.
 
Vipi kuhusu meno ya tembo nilini mtaanza operation hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…