Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kumbe CHADEMA wanamiliki mijengo?

Hivi mtu mashuhuri kama Mbowe anaweza kujificha kweli?
 
Mtu kaenda yeye mwenyewe lkn povu linawatoka kana kwamba kakamatwa... Acheni utaahira nyie uvccm
 
Huyu naye ni muongo. Mbowe kaisababishia polisi hasara ipi?
 
habari ya kusema alijificha sio kweli kwasababu siku 3 zilizopita alipost picha kwenye account yake ya instagram akiwa na viongozi wenzake kwenye kikao cha kamati kuu ndogo ya Chadema.
 
Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe

Utaacha kuitetea CCM wakati unautaka ukuu wa wilaya.Ila moja kubwa hata MBOWE anahaki ya kuwa mtanzania.Na Tanzania siyo ya wanaCCM tu.

Ninamalumu sana JKN kutakuwafundisha tolerence ya Upinzani,wakati wapinzani wanauwezo mkubwa wa kuwavumilia CCM lakini vijana wa CCM mnajengwa kwenye chuki,visasi na ubaguzi mkija kushtuka mtashindwa hata kuwasalimia wenzenu.
 
Ataipata fresh. Yeye si amejifanya jeuri? Subiri wenye jeuri zaidi yake wamshughulikie
Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!!
 
Ataipata fresh. Yeye si amejifanya jeuri? Subiri wenye jeuri zaidi yake wamshughulikie

Hongera sana kaka leo una polisi kesho yako huijui??Hivyo ninakuambia kuna siku utalia machozi ya damu,sheherehekea binti ila muda daima huwa ni dawa.
 
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…