Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Alikataa hatokwenda polisi, Ishu hapa ni amekamatwa OVER!!! , Hapana Chezea serikali.
 

Ngonjera zako Peleka BAKITA
 
Kwa hiyo ameandikiwa "SAMANSI" Na Facebook, Twitter, na Instagram?

Maana alidai haendi anasubiri "SAMANSI"
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!
Ujumbe huo peleka makao makuu lumumba.
 
Mbona taarifa za kuwa hajakamatwa bali kajipeleka hazifunguki? Au ni feki?
 
Nawaona CHADEMA walivyopanic. Wanakimbilia kueneza propaganda kuwa eti Mbowe kajipeleka mwenyewe. Haya tuambieni wanasheria alioambatana nao huko Central. Mbowe kakamatwa akiwa na Dereva wake tu. hakuna mtu mwingine zaidi yao
 
Imekuwaje aende mwenyewe na alisema hawezi kwenda kwa wito wa kwenye vyombo vya habari mara wanasema kakamatwa ipi ni taarifa sahihi?
 
Mbowe afika kituo cha polisi hii leo kwa hiari yake

hii ni kwa mujibu wa habar ya saa hii kwenye East africa redio kipindi cha drive (4.46)
 

Sasa lile taahira la mkoa lililotatuliwa marinda na marehemu mbona limetuletea news za uongo na linaachwa huru bila kuchukuliwa hatua na hawa mods wa jf? Au kwa kua limetumia id feki? Madaraka ya kuteuliwa kwa kugawa utu ni hatari sana.
 
Nawaona CHADEMA walivyopanic. Wanakimbilia kueneza propaganda kuwa eti Mbowe kajipeleka mwenyewe. Haya tuambieni wanasheria alioambatana nao huko Central. Mbowe kakamatwa akiwa na Dereva wake tu. hakuna mtu mwingine zaidi yao

Walizani Polisi wa sasa ni walee!
Tuliwaeleza mabadiliko
hatukulenga mwanamme kuwa mwanamke
haya ndio mabadiliko ya kweli
hakuna kuangalia sura
kama unahitajika polisi utakwenda tu
 
Walizani Polisi wa sasa ni walee!
Tuliwaeleza mabadiliko
hatukulenga mwanamme kuwa mwanamke
haya ndio mabadiliko ya kweli
hakuna kuangalia sura
kama unahitajika polisi utakwenda tu
Mabadiliko ya kweli haya si yale ya kuzungusha mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…