Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kama alishauriwa na zt hiviiii..
 
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Jamaa una chuki mbaya sana roho yako ni nyeusi iliyojaa chuki..watz hawako hivyo..mwlimu alijenga nchi ya amani sio chuki wewe ni kama sisi wengine wote hapa hatuishi milele tunapita kaa kwa amani uwe na utu uwe na fikra pana ujue hata Roma ilianguka..sisi wanadamu maisha yetu yanaisha wote kabisa ..usifurahie watesi wa wenzio
 
Kama alikamatwa na alikuwa mafichoni, gali lake limeendaje kituoni? au alienda mwenyewe na gali lake, sababu ya mihemuko ya kisiasa,ili mzee Makonda ajue Siro anachapa kazi lazima aseme wamemkamata, tutamuona kwenye taalifa ya habali saa 2,maana sasa hivi yeye ndo msemaji wa polisi kwa sasa, sijui Mama Advera Bulimba ameshasitafu?
 
MTU akifanya biashara ya sawa za kulevya ni wakushughulikiwa lkn mtumiaji tuu wala haihitaji miguvu eti kudeal naye!!
 
Wewe hujitambui kabisa utakuwa na utapiamlo wa akili
 
Najaribu kuwaza siku CDM ikichukua Nchi......kwa hayo manyanyaso wanayopitia hawa watesi wao wataenda kujificha wapi?

Nami nawaza siku CDM ikichukua nchi, watu hawaitikia mwito wakiitwa na viongozi. Nchi itakuwa haina utawala(power vacuum)
 
Kwahiyo teja mbowe mda huu yuko mikonon mwa siro bas poa lakin jamaa ni mwoga kinoma sasa alikua anakimbia nini

Unauhakika Mbowe ni TEJA??Au kwa sababu ni mpinzani??Hebu angalia ulichoandika.Mbowe alikufanya nini?Hivi akiprove innocent utaenda kumuomba radhi kwa hii sentensi yako??
 
Nami nawaza siku CDM ikichukua nchi, watu hawaitikia mwito wakiitwa na viongozi. Nchi itakuwa haina utawala(power vacuum)

Polisi wamebadili Taratibu zao za kuita watuhumiwa??Kwa hiyo siku hizi watuhumiwa wataitwa kwa kutumia EA TV au Clouds??
 
Reactions: 999
Unauhakika Mbowe ni TEJA??Au kwa sababu ni mpinzani??Hebu angalia ulichoandika.Mbowe alikufanya nini?Hivi akiprove innocent utaenda kumuomba radhi kwa hii sentensi yako??
Umemwambia ukweli na wakati mwingine usipoteze muda wako na watu wa namna hiyo waangalie na ujipitie tu.
 
hapa ndipo ninapo amini Sirro anafanya kazi ya Polepole....taharifa zote za jeshi la polis zinawafikia makada wa CCM mda wowote ule ili wapige propaganda. Jeshi letu la Polis limekosa Weledi kwa kiwando cha kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…