bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Polisi siwapendi maana juzi kati walinipiga faini ya kijinga ila huyu Mbowe wangemtia ata kofi moja ili ajifunze kutii..!Wahalifu ndo zao za kujificha ficha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi siwapendi maana juzi kati walinipiga faini ya kijinga ila huyu Mbowe wangemtia ata kofi moja ili ajifunze kutii..!Wahalifu ndo zao za kujificha ficha
Kama alishauriwa na zt hiviiii..Anaitwa kwa kiburi ati haendi. Kumbe ni kujificha. Hakika, Viongozi wa upinzani kwa woga wanaongoza. Mwingine alikesha bungeni asikamatwe. Wengine wanaropoka hovyo wakikamatwa ati serikali ya kibabe.
Kama wanashutumu utawala uliopo kwa kile wanachodai haifuati sheria na kuvunja Katiba, waoneshe mfano kwa vitendo kutii sheria pasipo shurti.
Jamaa una chuki mbaya sana roho yako ni nyeusi iliyojaa chuki..watz hawako hivyo..mwlimu alijenga nchi ya amani sio chuki wewe ni kama sisi wengine wote hapa hatuishi milele tunapita kaa kwa amani uwe na utu uwe na fikra pana ujue hata Roma ilianguka..sisi wanadamu maisha yetu yanaisha wote kabisa ..usifurahie watesi wa wenzioHahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Kwa sababu amemtia Nguvuni Thug Mbowe?
Wewe ulikuwepo? Uwe unajiongeza basiHapo mpotoshaji ni Tumaini Makene, Henry Kilewo na John Mrema
Mandela hakuwahi Kuuza ungaKwa mtazamo wa makaburu wakati ule Mandela alikuwa mhalifu tena haini. Kwa makaburu weusi wa hapa tz mbowe ni mhalifu.
Acha hizo wewe,wamemuonaje na gari kabadili na lina tinted
Mbowe katiwa mbaroni.Kaambiwa aripoti saa 2,halafu aende saa tisa?
Mnaremba taarifa wakati nyie ndio mlikuwa mnamtetea asiende na Tundu Lissu na kibatali wameshauri asiende,kimempata kipi mpaka kaamua kuwakiuka mawakili wake?
Najaribu kuwaza siku CDM ikichukua Nchi......kwa hayo manyanyaso wanayopitia hawa watesi wao wataenda kujificha wapi?
Kwahiyo teja mbowe mda huu yuko mikonon mwa siro bas poa lakin jamaa ni mwoga kinoma sasa alikua anakimbia nini
Nami nawaza siku CDM ikichukua nchi, watu hawaitikia mwito wakiitwa na viongozi. Nchi itakuwa haina utawala(power vacuum)
Watanzania wengi akili zao ndogo sana.Ndio maana hii nchi haiendekei.Nashangaa kiongozi mkubwa kama Mbowe kuogopa Polisi, wanamshinda ujasiri hata akina Wema na Tid.
wewe una mahaba na Mbowe kiasi kwamba hapo ulipo macho yamekuwa mekundu shauri ya kulia.Central peupeeeWewe hujitambui kabisa utakuwa na utapiamlo wa akili
Mna uwezo wa kuthibitisha tuhuma za kuhusika kuuza madawa ya kulevya ?Mandela hakuwahi Kuuza unga
Umemwambia ukweli na wakati mwingine usipoteze muda wako na watu wa namna hiyo waangalie na ujipitie tu.Unauhakika Mbowe ni TEJA??Au kwa sababu ni mpinzani??Hebu angalia ulichoandika.Mbowe alikufanya nini?Hivi akiprove innocent utaenda kumuomba radhi kwa hii sentensi yako??