Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

JF angalie ni taarifa ipi sahihi then muiweke...je amekamatwa au amejisalimisha?.....maana taarifa za uongo zikipewa kipaumbele JF inazidi kukosa Hadhi
 
Eti tunabana matumizi!!!! Gharama mnazotumia kuwaandama wapinzani na kesi uchwala,ndio kubana matumizi!!.
 
Mleta hoja anapotosha , haijafikia hata kuchukua maelezo , sasa ya dhamana umeyatoa wapi sijui umekula maharage ya wapi wewe
 
ngoja siro ndiye atakayetoa taarifa kama mbowe kajipeleka au kakamatwa pangoni
 
Yaani ni sawa na Simba kujikamuaaa kuruka kumkamata mnyama, na kujisifu kwa ujasiri kumbe mnyama mwenyewe alishajifia huko long time
 
Acha ubwege na roho za VIWONDER
 
Embu acheni propaganda...... mnapata nini mnaposambaza taarifa za uongo na kupotosha umma?? Una uhakika mbowe kakamatwa au aliambiwa aripoti jumatatu??? Ssa siku haijaisha polisi waende kumkamata wa nini???

Mkuu unaheshima kubwa humu jf usitaki udharaulike
 
eti ajifiche kwa lipi mbona wezi wa escrow na iptl wapo mtaani aijui wataitwa ln waripoti polisi. ccm mnashangilia kwa kuwa mnajua hii ni. vita. ya kisiasa
 
Mandela hakuwahi Kuuza unga
Kwani Mbowe aliwahi kuuza "unga" au ni tuhuma tu. Unaifahamu universal Declaration of Human rights, article 11 sec I? Mpaka mahakama itakapo thibitisha, beyond reasonable doubt, kwamba Freeman Mbowe ni mtumiaji au muuza 'unga', hizi zitabakia kuwa siasa tu!
 
Ajabu vyombo vyote vya habari vinavyosema kuwa jamaa kajipeleka mwenyewe vimetaja chanzo cha habari kuwa ni pande zile...ukweli unabaki palepale...amekamatwaa hata km eti njiani
 


Lizabon jirekebishe huyo ni kamanda hawezi jificha kama kakakuona au ni muoga .
 
Mmh! Waangalie vizuri humo. Wanaweza kumpata Saanane!
 
Hamuelweki, yani kila mtu anajikuta mwandishi wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…