Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Haya akina Tundu LISU waliotunisha misuli koko wakisema hatakwenda mbona tayari anaenda? TUNDU lisu sema sasa una uongo gani au porojo gani tena za kubwabwaja?
 
Hahahahahahahaaaaaaa! Anakumbuka yaliyomkuta Arusha aliposafirishwa kwa ndege kwenda Dar. Yaliyomkuta humo kwenye ndege hatakuja kusahau

Alifanywa nini??Lizabon ninakuonea huruma sana kuwa na moyo uliojaa chuki,visasi na ubaguzi ambao uaniga tu kutoka kwa viongozi wako,ukiulizwa Mbowe amekufanya nini huna cha kujibu.

Sasa ukiambiwa ameenda mwenyewe polisi utarudi na kitu gani hapo??Dunia ni njia tunapita,na cheo ni dhamana leo unacho kesho huna
 
Ilikuwa lazima apatikane na kukamatwa, Ndio maana nashangaa kwa nini ajifiche...
Kama anaona anachofanya ni sahihi kisheria angeendelea na shuguli zake waziwazi sio kujifichaficha
 
Mbowe anajua nini kilimtokea
 
daaah hii hatari aisee utawala bora uko wapi utawala wa sheria uko wapi demokrasiya iko wapi semeni basi huu utawala wa kifalme hauna katiba wala sheria tujue moja hakuna haja ya kuwa na upinza tanzania kama hao wapinzani hawaheshimiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…