Hivi unafikiri kama mbowe anajihusisha au hajihusishi na hiyo biashara hawajui??......
.....kuna sehemu Tumepotea ndani ya giza tororo
Mungu atamlipa hapa hapa duniani.magu ana ubabe wa kizamani sana. inferiority complex inamtesa sana
Enzi za mkoloni haikua hivi kwa Tz labda kwa nchi kama Afrika ya kusiniHuu ukamataji wa Wapinzani too much, hivi enzi za mkoloni hali ilikuwa hivi?
GudgalPolisi bwana tokea wamtanganze,yeye kwani mjinga aache ushahidi ndani?
Maalim Seif aandike kiingereza kibovu hivyo? Ni uzee au? Siamini,labda umenakili hovyo
Mzee Tupatupa
kwanza sahihisha gramar kingereza pale threats=threatinjustice anywhere is a threats to justice everywhere freedom coming tomorrow
Chanzo Instgram @maalimseifshariff
Acha uongo, wewe upo hapo?Kwa sasa polisi wanamfanyia upekuzi nyumbani Kwake ili kujiridhisha ...
source:John Mrema (CHADEMA).
Iyo njia ni batili aitazaa matokeo chanya , pili ndani ya iyo vita zimeingizwa siasa.Njia moja wapo ni hiyo kwa hiyo kwa mke mia mkuu wanakwenda kumsalimia tu na ninadhani unajua la kama hujui ni hivi unapokuwa vitani kila mbinu hutumika,kila silaha hutumika ilimradi ushindi upatikane kwahiyo kupima ni moja ya kutafuta ukweli wa huyu anatumia madawa ya kulevya au la na kama anatumia aliyapata wapi ndicho kinachotafutwa hapa.
Wajitoa fahamu?Bingwa wa sanaa Leo kanaswa
Ninachojiuliza...hivi hawa jamaa kweli wanajua wanachokifanya? Wiki mbili toka umemtuhumu mtu ana madawa ya kulevya, na ameshaona mnachowafanyia wengine mliowatuhumu, kweli huyo mtu kama ni kweli anafanya mambo hayo, atakuwa bado ameyaacha tu nyumbani kwake! Hii kitu ni kichekeaho cha karne na aibu kubwa kwa taasisi. Hii presha wanayopelekeshwa nayo na bw. Daud No-rinda, itawaua aisee!Hao polisi wana maelekezo maalum, hakuna cha unga wala ugali.
Hii serikali ya awamu ya 5 imezidiwa maarifa.
Huo sio upekuzi, bali ni udhalilishaji. Upekuzi ungeishafayika kitambo
Polisi bwana tokea wamtanganze,yeye kwani mjinga aache ushahidi ndani?
Wastage of resources and police time.
Wazee wa comedy unasachi kwa mtu baada ya tangazo kwenye media,[emoji2][emoji2]only in tz
nashangaa maana ni muda sasa. kama tatizo ni lile lile ni kama walimpa nafasi basi
Wengi wetu humu jamvini kumbe tunajifanya kuwa wajuzi kwa kila fani na taaluma.Mkuu hata kama mimi ninayo haya madawa tangia mbiu ya mgambo inaanza sijasafisha nyumba tu.
injustice anywhere is a threats to justice everywhere freedom coming tomorrow
Chanzo Instgram @maalimseifshariff
Pole sana...na ahsante Kwa kutuonesha zilipoishia akili zakoMbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Kwa sasa polisi wanamfanyia upekuzi nyumbani Kwake ili kujiridhisha ...
source:John Mrema (CHADEMA).