lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Hivi unafikiri kama mbowe anajihusisha au hajihusishi na hiyo biashara hawajui??......
.....kuna sehemu Tumepotea ndani ya giza tororo
Itakuwa ni nchi gani hii viongozi wakubwa kama mbowe mambo yao hayajulikani hata kidogo?