Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Yaani labda vipimo lakini kwa upande wa NYARAKA TANGU AITWE MPAKA LEO AWE BADO ANAZO TU MIMI SI DHANI.
Hapilisi mazoba sana.siku zote hizo hata kama ni kweli atanisubiri nyie na hivyo vizibhti!!!!!.kwanini hawakuvamia kabla hajatajwa.Tanzania hatuna jeshi la polisi.nyie polbsi wacheni kutumika kisiasa.
 
Ukoloni mamboleo ni shidaaa! Yaaaani watu mmegeuka badala ya kuokoa watanzania wanaopata shida msumbiji mmekomalia kukomoa wenzenu - hii nchi iangalieni kwa jicho la tatu
 
Eti sheria.... ha haa haaaa...mnachekesha... lakini hata Idi Amini Dada na Hitler walikuwa na wafuasi sikushangai...... na wafuasi kama wewe walikuwa chama tawala na walio umizwa na sheria walikuwa ni wapinzani kama hao unao wasema.... be blessed....
 
Hakuna anayesema mpinzani yupo juu ya sheria....na watu wanapolalamika Mbowe kukamatwa ni vile wanaona yale yanayoendelea huu ya ukandamizaji kwa wapinzani, upinzani Tanzania sasa ni uadui, kufanya mkutano wa kisiasa kunaonekana uchochezi.........Katiba haifuatwi, MTU unawekwa ndani kwa vile tu kiongozi Fulani amejisikia kukuweka ndani........hii sio haki.
 
Hahahahahah wenzio wana hofu imetanda mitaa ya ufipa unadhani wafadhili au wajerumani wakisikia majibu ya mkemia yakitoka vibaya unadhani itakuwaje?
Nchi yetu yenda wapi, tumekuwa wachawi wanaosubiri waliemuwangia afe.
 
Makazi yake si yapo jimboni kwake...na Siku zote hz bado tu kizibiti kiwepo nyumbani....only in danganyika
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Serikali kama hii ndio wananchi wweeengi tuliitaka. Mungu amejibu maombi proper
 
Polisi wetu kweli wako vzr sn, wanakutuhumu, wanakupa mda wa kutosha wa kujipanga kukaguliwa alafu ndo wanakuja kukupekua, safi sn askari wetu, nahic utaalam huu mmejifunzia nchini Israel
 
Mie nashindwa kulewa hawa wanaotajwa ni wauzaji au watumiaji?? Pili kama ilikua issue kutaja na tukaambiwa kuna awam mpk ya 7 mbona ya 3 tu hawakutaja pia week hii awam ya 4 naona kama haipo coz j3 ndo ilikua siku ya kutangaza sasa namuona daudi bashite yupo kimya tu kulikon
 


Hivi kama huyu jamaa ni mbwiaji unga kwa nini asiulizwe na mapolisi kwa ushirikaiano zaidi? Usikute wenzake walimtaja kwa Makonda na ndiyo maana aliitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…